ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 9,091
- 21,087
Club ya Ihefu imemfuta kazi CEO wa team hiyo kutokana na kutokidhi mategemeo ya wamiliki wa team hiyo
Kijana hiyo alijizolea umaarafu wake wa FOOTBALL ECONOMY
Alikuwa akiandika mada ndefu huko Instagram kumkosoa Engineer Hersi Said ati hajui football ecomy
Mara Yanga inapata hasara, mara viongozi hawajielewi
Ihefu wakamwona wakampa nafasi ya kuwa mtendaji mkuu wa team hiyo
Leo kashindwa kuingiza philosophy yake ya football ecnomy Ihefu, eti huyo ndo alibwabwaja kumkosoa Ras wa Yanga ati hajui uongozi na football economy yake
Ndugu zangu ukiwa nje kukosoa na kubwabwaja ni rahisi ila ukiingia ndani utaanza kumheshimu watu
Naamini sasa Biko Scanda atampa heshima kubwa Engineer Hersi Said
Sent using Jamii Forums mobile app