CEO wa Ihefu Biko Scanda atimuliwa kazini

ngara23

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2019
Posts
9,091
Reaction score
21,087
Club ya Ihefu imemfuta kazi CEO wa team hiyo kutokana na kutokidhi mategemeo ya wamiliki wa team hiyo

Kijana hiyo alijizolea umaarafu wake wa FOOTBALL ECONOMY

Alikuwa akiandika mada ndefu huko Instagram kumkosoa Engineer Hersi Said ati hajui football ecomy
Mara Yanga inapata hasara, mara viongozi hawajielewi

Ihefu wakamwona wakampa nafasi ya kuwa mtendaji mkuu wa team hiyo

Leo kashindwa kuingiza philosophy yake ya football ecnomy Ihefu, eti huyo ndo alibwabwaja kumkosoa Ras wa Yanga ati hajui uongozi na football economy yake

Ndugu zangu ukiwa nje kukosoa na kubwabwaja ni rahisi ila ukiingia ndani utaanza kumheshimu watu

Naamini sasa Biko Scanda atampa heshima kubwa Engineer Hersi Said

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chawa wa Jiesimu mna kazi nyieeeeee. Yaani amkosoe Hesi kuchukia uchukie wewe.
 
Umenikumbusha garry Neville, akiwa bbc na sky anabwabwaja saana, akapewa valencia mechi 11 tu watu wakampa mkono wa kwaheri., 😂🤣

Ila ndio mpira ulivyo Usishangae huyo eng. Hersi saidi ambae anafanya vizuri hapo yanga akaenda kwningine akaboronga. Kufanikiwa ama kutokufanikiwa kuna chagizwa na vingi.
 
Club ya Ihefu imemfuta kazi CEO wa team hiyo kutokana na kutokidhi mategemeo ya wamiliki wa team hiyo

Kijana hiyo alijizolea umaarafu wake wa FOOTBALL ECONOMY

Alikuwa akiandika mada ndefu huko Instagram kumkosoa Engineer Hersi Said ati hajui football ecomy
Mara Yanga inapata hasara, mara viongozi hawajielewi

Ihefu wakamwona wakampa nafasi ya kuwa mtendaji mkuu wa team hiyo

Leo kashindwa kuingiza philosophy yake ya football ecnomy Ihefu, eti huyo ndo alibwabwaja kumkosoa Ras wa Yanga ati hajui uongozi na football economy yake

Ndugu zangu ukiwa nje kukosoa na kubwabwaja ni rahisi ila ukiingia ndani utaanza kumheshimu watu

Naamini sasa Biko Scanda atampa heshima kubwa Engineer Hersi Said

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona kama una hasira mkuu tulia uwasilishe mada vizuri taarifa ina muhusu scanda ila wewe unamuelezea engineer hersi je kama alichokiamini yeye ihefu hawakukiamini na hajafukuzwa amejiuzulu mwenyewe.
 
To get things done siyo mchezo, inahitaji mtu kwelikweli...TZ kuongea tu huwezi shindana nayo ila kwenye field Sasa daah ni majanga matupu.
 
Yale yale kama wachezaji kelel nyingi lkini uwanja i hamna kitu. Mpira ukishahamia mdomoni majanga tuu
 
Club ya Ihefu imemfuta kazi CEO wa team hiyo kutokana na kutokidhi mategemeo ya wamiliki wa team hiyo

Kijana hiyo alijizolea umaarafu wake wa FOOTBALL ECONOMY

Alikuwa akiandika mada ndefu huko Instagram kumkosoa Engineer Hersi Said ati hajui football ecomy
Mara Yanga inapata hasara, mara viongozi hawajielewi

Ihefu wakamwona wakampa nafasi ya kuwa mtendaji mkuu wa team hiyo

Leo kashindwa kuingiza philosophy yake ya football ecnomy Ihefu, eti huyo ndo alibwabwaja kumkosoa Ras wa Yanga ati hajui uongozi na football economy yake

Ndugu zangu ukiwa nje kukosoa na kubwabwaja ni rahisi ila ukiingia ndani utaanza kumheshimu watu

Naamini sasa Biko Scanda atampa heshima kubwa Engineer Hersi Said

Sent using Jamii Forums mobile app
Yawezekana kushindwa kwake hakumaanishi alichosema juu ya Hersi si kweli
 
Mwingine ni Jemedari I wish siku moja apewe timu tuone u pro wake
 
Angeonyesha kwa vitendo
Nikisema betting anayoifanya Mr. A inampa hasara, mimi nikapewa na mtaji nifanye kwa namna ambayo naamini nitapata faida, lakini hata mimi nikapata hasara, Je, kupata kwangu hasara kutamaanisha nilichosema juu ya Mr. A automatically kitakuwa ni uongo?
 
Back
Top Bottom