Ndio wanatakiwa wajifunze kua mdomo haufanyi kazi wakikaa kwenye platform zao kazi ni kukosoa hawajui changamoto zilizopo ground nadhani sasa hivi atakua na adabuNikisema betting anayoifanya Mr. A inampa hasara, mimi nikapewa na mtaji nifanye kwa namna ambayo naamini nitapata faida, lakini hata mimi nikapata hasara, Je, kupata kwangu hasara kutamaanisha nilichosema juu ya Mr. A automatically kitakuwa ni uongo?
Club ya Ihefu imemfuta kazi CEO wa team hiyo kutokana na kutokidhi mategemeo ya wamiliki wa team hiyo
Kijana hiyo alijizolea umaarafu wake wa FOOTBALL ECONOMY
Alikuwa akiandika mada ndefu huko Instagram kumkosoa Engineer Hersi Said ati hajui football ecomy
Mara Yanga inapata hasara, mara viongozi hawajielewi
Ihefu wakamwona wakampa nafasi ya kuwa mtendaji mkuu wa team hiyo
Leo kashindwa kuingiza philosophy yake ya football ecnomy Ihefu, eti huyo ndo alibwabwaja kumkosoa Ras wa Yanga ati hajui uongozi na football economy yake
Ndugu zangu ukiwa nje kukosoa na kubwabwaja ni rahisi ila ukiingia ndani utaanza kumheshimu watu
Naamini sasa Biko Scanda atampa heshima kubwa Engineer Hersi Said
Sent using Jamii Forums mobile app
Hujui kama yeye ndio Biko Scanda mwenyewe?
Azam huo ubingwa wake mmoja wamechukua jemedari akiwa kiongozi kwakua mpira wa bongo anaujua,toka aondoke ndio hiyo Azam unayoiona ipo kwenye kivuli cha timu za kariakooMwingine ni Jemedari I wish siku moja apewe timu tuone u pro wake
Jemedari unaijua CV yake? Aliitwaa timu ya Taifa akiwa mwanafunzi wa form 5 Ndanda secondary,msisikilize propaganda za watu kuhusu jemedari mpira wa bongo anaujua kwani ameucheza na anauishi wengi hawapendi kuongea kwake ukweliHakuna mtu mwenye akili timamu anayeweza kumpa timu yake huyo Mpumbavu
Ihefu imeuzwa haya unganisha dot walionunua wakina Nani na wanafungamana na Nani ili kipelekee kujiuzuru? Fikiria vizuri
Hujui ulizungumzalo kaa kimyaaaaaaa.....Club ya Ihefu imemfuta kazi CEO wa team hiyo kutokana na kutokidhi mategemeo ya wamiliki wa team hiyo
Kijana hiyo alijizolea umaarafu wake wa FOOTBALL ECONOMY
Alikuwa akiandika mada ndefu huko Instagram kumkosoa Engineer Hersi Said ati hajui football ecomy
Mara Yanga inapata hasara, mara viongozi hawajielewi
Ihefu wakamwona wakampa nafasi ya kuwa mtendaji mkuu wa team hiyo
Leo kashindwa kuingiza philosophy yake ya football ecnomy Ihefu, eti huyo ndo alibwabwaja kumkosoa Ras wa Yanga ati hajui uongozi na football economy yake
Ndugu zangu ukiwa nje kukosoa na kubwabwaja ni rahisi ila ukiingia ndani utaanza kumheshimu watu
Naamini sasa Biko Scanda atampa heshima kubwa Engineer Hersi Said
Sent using Jamii Forums mobile app
Apewe timu mara ngapi?Mwingine ni Jemedari I wish siku moja apewe timu tuone u pro wake