CEO wa Ihefu Biko Scanda atimuliwa kazini

CEO wa Ihefu Biko Scanda atimuliwa kazini

Nikisema betting anayoifanya Mr. A inampa hasara, mimi nikapewa na mtaji nifanye kwa namna ambayo naamini nitapata faida, lakini hata mimi nikapata hasara, Je, kupata kwangu hasara kutamaanisha nilichosema juu ya Mr. A automatically kitakuwa ni uongo?
Ndio wanatakiwa wajifunze kua mdomo haufanyi kazi wakikaa kwenye platform zao kazi ni kukosoa hawajui changamoto zilizopo ground nadhani sasa hivi atakua na adabu
 
Club ya Ihefu imemfuta kazi CEO wa team hiyo kutokana na kutokidhi mategemeo ya wamiliki wa team hiyo

Kijana hiyo alijizolea umaarafu wake wa FOOTBALL ECONOMY

Alikuwa akiandika mada ndefu huko Instagram kumkosoa Engineer Hersi Said ati hajui football ecomy
Mara Yanga inapata hasara, mara viongozi hawajielewi

Ihefu wakamwona wakampa nafasi ya kuwa mtendaji mkuu wa team hiyo

Leo kashindwa kuingiza philosophy yake ya football ecnomy Ihefu, eti huyo ndo alibwabwaja kumkosoa Ras wa Yanga ati hajui uongozi na football economy yake

Ndugu zangu ukiwa nje kukosoa na kubwabwaja ni rahisi ila ukiingia ndani utaanza kumheshimu watu

Naamini sasa Biko Scanda atampa heshima kubwa Engineer Hersi Said

Sent using Jamii Forums mobile app

Acha uongo. Hajafukuzwa kajiuzulu mwenyewe.
 
Mwingine ni Jemedari I wish siku moja apewe timu tuone u pro wake
Azam huo ubingwa wake mmoja wamechukua jemedari akiwa kiongozi kwakua mpira wa bongo anaujua,toka aondoke ndio hiyo Azam unayoiona ipo kwenye kivuli cha timu za kariakoo
 
Hakuna mtu mwenye akili timamu anayeweza kumpa timu yake huyo Mpumbavu
Jemedari unaijua CV yake? Aliitwaa timu ya Taifa akiwa mwanafunzi wa form 5 Ndanda secondary,msisikilize propaganda za watu kuhusu jemedari mpira wa bongo anaujua kwani ameucheza na anauishi wengi hawapendi kuongea kwake ukweli
 
Club ya Ihefu imemfuta kazi CEO wa team hiyo kutokana na kutokidhi mategemeo ya wamiliki wa team hiyo

Kijana hiyo alijizolea umaarafu wake wa FOOTBALL ECONOMY

Alikuwa akiandika mada ndefu huko Instagram kumkosoa Engineer Hersi Said ati hajui football ecomy
Mara Yanga inapata hasara, mara viongozi hawajielewi

Ihefu wakamwona wakampa nafasi ya kuwa mtendaji mkuu wa team hiyo

Leo kashindwa kuingiza philosophy yake ya football ecnomy Ihefu, eti huyo ndo alibwabwaja kumkosoa Ras wa Yanga ati hajui uongozi na football economy yake

Ndugu zangu ukiwa nje kukosoa na kubwabwaja ni rahisi ila ukiingia ndani utaanza kumheshimu watu

Naamini sasa Biko Scanda atampa heshima kubwa Engineer Hersi Said

Sent using Jamii Forums mobile app
Hujui ulizungumzalo kaa kimyaaaaaaa.....

Ihefu imeuzwa,
 
Mwingine ni Jemedari I wish siku moja apewe timu tuone u pro wake
Apewe timu mara ngapi?

Hao ndio wameipandisha Azam kuingia ligi kuu akina Jemedari

MKuu ficha ujinga wako kama hujui mambo kaa kimya

Huyu Jemedari amekaa Azam FC kabla haijapanda ligi na muda mfupi baada ya kupanda

Hao ni mashabiki wa Azam kindakindaki na amekuwa mwalimu wa Azam mpaka ikapanda ligi kuu

Jemedari amecheza mpira sio kama akina osca au Maulidi

Jemedari amecheza Kariakoo lindi wakati huo ilikuwa timu kubwa sana na ya kutisha

Huwezi ongelea historia ya azam ukamuacha Jemedari
 
Back
Top Bottom