CEO wa mtandao wa Telegram, Pavel Durov akamatwa katika uwanja wa ndege nchini Ufaransa

CEO wa mtandao wa Telegram, Pavel Durov akamatwa katika uwanja wa ndege nchini Ufaransa

quantumania

Senior Member
Joined
Dec 23, 2015
Posts
105
Reaction score
330
Kukamatwa kwa Pavel mmiliki wa mtandao wa Telegram pengine kumepelekea mtandao huo kuwa slow sana na wakati mwingine mpaka utumie VPN .Vip inaweza kuwa sababu hiyo ??

Wajuzi wa mambo mtujuze::::

Updates

CEO wa mtandao wa Telegram, Pavel Durov (39) amekamatwa katika kiwanja cha ndege nchini Ufaransa na maofisa wa anti fraud alipokuwa na warrant ya kukamatwa

Durov alikuwa anatafutwa kwa tuhuma za makosa ya mtandao wake wa Telegram kutokuwa na usimamizi mzuri ambao unasababisha mtandao huo utumike katika biashara ya utakatishaji pesa, biashara ya madawa ya kulevya na usambazaji wa picha za watoto wadogo

≈===========

ParisCNN —
French authorities have detained Pavel Durov, the French-Russian billionaire who founded the messaging app Telegram, at an airport outside Paris, according to CNN affiliate BFMTV.

Officers from France’s anti-fraud office, attached to French customs, took him into custody Saturday evening after he arrived at Bourget Airport on a flight from Azerbaijan, BFMTV reported.

Durov, 39, was wanted under a French arrest warrant due to the lack of moderation on Telegram which led to it being used for money laundering, drug trafficking and sharing pedophilic content, according to BFMTV.

According to BFMTV, the Telegram founder had not regularly travelled to France and Europe since the arrest warrant was issued.

CNN has reached out to the French prosecutor’s office for comment.

CHANZO: CNN

Updates.

Pavel Durov has been released from custody.

The investigating judge has terminated Pavel Durov's detention in police custody for the purpose of his initial interrogation and possible filing of charges

Hints.....

In short, he is not yet free. This is only a change in Durov's status for the purpose of interrogation and possible indictment. After that, a decision will be made about his fate

Update 29/08/2024

Durov Aachiliwa kwa Dhamana - Mashtaka Anayokabiliana nayo

▪️Kusimamia jukwaa la mtandaoni kwa madhumuni ya kufanya miamala isiyo halali - adhabu ya juu zaidi, miaka 10 & €500k

▪️Kukataa kuwasiliana na mamlaka kwa ombi la data inayohusishwa na kesi za jinai

▪️Ushirikiano katika kutoa "ufikiaji" wa shughuli za uhalifu - ikiwa ni pamoja na usindikaji wa data, picha za watoto, ulanguzi wa dawa za kulevya, uhalifu uliopangwa na njama za kutenda uhalifu.

▪️Njama ya kuficha uhalifu wa vikundi vilivyopangwa

▪️Huduma za Crytpo zinazolenga kuhakikisha usiri bila tamko la lazima

▪️Kuagiza zana za crypto ambazo huthibitisha na kuthibitisha bila ilani inayotazamiwa mapema.

Pavel Durov Lazima Aonekane na kuripoti Mbele ya Mamlaka za usalama ya Ufaransa Mara Mbili kwa Wiki.

Update 29/08/2024

Huduma za Mtandao wa Telegram bila kutumia VPN walejeshwa kote.
 
Hata mimi jana Telegram imenisumbua. Pavel amekamatwa kwa makosa ya Telegram kuchapisha maudhui yanakokinzana na haki za binadamu na makosa ya jinai. Telegram hamna regulation hata wauza madawa wapo, sexual traffickers wapo.

Sidhani kama ni makosa makubwa sana kwake, angekamatwa kwao Urusi ndio ana kesi kubwa ila cha ajabu serikali ya Urusi inaitumia sana Telegram maana raia hawaziamini sana source rasmi za serikali.
 
Niliwaza sana nikasema pengine code zote kashaachia pengine access ya maudhui wanairegulate au kubadilisha na kuweka mifumo pandikizi ili west waucontrol zaidi.
 
Niliwaza sana nikasema pengine code zote kashaachia pengine access ya maudhui wanairegulate au kubadilisha na kuweka mifumo pandikizi ili west waucontrol zaidi.
West hawana shida sana na Telegram. Urusi ndio wana shida ndio maana alipakimbia na ni kwao hawezi kanyaga, West si anakuwepo Malta uko mara Cyprus.
 
Back
Top Bottom