CEO wa mtandao wa Telegram, Pavel Durov akamatwa katika uwanja wa ndege nchini Ufaransa

hata telegram inafanya hivo sema hipo advance sana
P2p ina maana hakuna server mtu akitaka file basi linatoka kwenye vifaa vya watu, ukisha download file una seed kwa watu wengine ili na wao waweze kudownload, Telegram haipo hivyo na ina server zake mbalimbali duniani na operational centre ipo Dubai, so sio p2p.
 
Nimeongea na mtu leo for almost "2 hours na madakika" tena yuko mamtoni..., sikuona wala kuhisi shida yoyote... Nafkiri siku za mbeleni watakuwa tayari washapandikiza mambo yao kupata wanayoyahitaji.

Kama jamaa yuko chini ya ulinzi hawezi kukaza, jeuri hiyo sidhani kama atakuwa nayo.
 
P2p ina maana hakuna server mtu akitaka file basi linatoka kwenye vifaa vya watu, ukisha download file una seed kwa watu wengine ili na wao waweze kudownload, Telegram haipo hivyo na ina server zake mbalimbali duniani na operational centre ipo Dubai, so sio p2p.
nahisi ulimaliza UDOM .Tunao tumia hii kitu na uzuri na mtoto mkubwa USA ni Software Engineer .Niligunduaje JF ni sawa na clous fm kipindi cha tabia ya ruge
 
P2p ina maana hakuna server mtu akitaka file basi linatoka kwenye vifaa vya watu, ukisha download file una seed kwa watu wengine ili na wao waweze kudownload, Telegram haipo hivyo na ina server zake mbalimbali duniani na operational centre ipo Dubai, so sio p2p.
Chief wewe ni mtu wa maana hapa jukwaani, ujengewe sanamu
 
Jamaa ni Mrusi ila kuna kipindi Russia walimwomba awape taarifa muhimu kuhusu matukio ya kigaidi akamtusi Putin kwa middle finger

Acha akamatwe aliisaliti Russia akadhani nchi za Ulaya watamtetea

Anakula nyundo 20 ngome
 
Back
Top Bottom