OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Yanga ndo maana mwaka wa nne huu haina kikombe VPL/FA. Kimegeuka club cha udaku na kusuta. Mnaimarisha timu lenu mida gani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kimzaha mzaha wakati inaonekana anahangaika kuipandisha brand ya Simba ukweli ni kwamba kwenye issue ngumu ni muoga sana, Simba ilipofikia kuna siku itechaza hata na Manzese united wakasema simba imepuliizia sumu na habari ikasambaa Afrika nzima ikaamini.
CEO hizi habari anakausha kimya hadi inakera yule mganga feki alikwamatwa uwanjani kavaa kaniki nyekundu kaishia wapi?
Aliyevunja nazi yuko wapi na alikamtwa simba inashindwa kuwashtaki mahakamani wakaseme nani kawatuma subiri habari ya Dodoma jiji isambae Afrika uone moto wake.
View attachment 1799378Ishu ya milioni 40 CEO wa Yanga alijibu? Tuliza kigozi manyoya huko.
Mkuu punguza maneno basi, soka la Africa linajulikana vizuri Tu mbwembwe zake, Simba kaenda Kongo kuna wachezaji waliwekwa quarantine kuwa Wana Corona ila wametoka Tz wamepima na hakuna aliekuwa na CoronaKimzaha mzaha wakati inaonekana anahangaika kuipandisha brand ya Simba ukweli ni kwamba kwenye issue ngumu ni muoga sana, Simba ilipofikia kuna siku itechaza hata na Manzese united wakasema simba imepuliizia sumu na habari ikasambaa Afrika nzima ikaamini.
CEO hizi habari anakausha kimya hadi inakera yule mganga feki alikwamatwa uwanjani kavaa kaniki nyekundu kaishia wapi?
Aliyevunja nazi yuko wapi na alikamtwa simba inashindwa kuwashtaki mahakamani wakaseme nani kawatuma subiri habari ya Dodoma jiji isambae Afrika uone moto wake.
View attachment 1799378