CEO wa Simba, Barbara Gonzalez hataki kufananishwa na Ndugu Senzo Mbatha

Anamzidi kitu gani Senzo mwenye uzoefu na weledi mkubwa kwenye soccer management?
Kuwa side kick ya boss waje wake kunampa kiburi sana. Pathetic Barbara!
 
Huenda Barbara akawa sahihi. Yeye ni kichuguu na Senzo ni mlima Kilimanjaro.
 
Kama mnajua hivyo kwa nini hamjampa kuwa CEO badala yake mmemfanya kuwa mshauri tu.Kumbuka ni hiari kupokea ushauri ama kuukataa
Huenda Barbara akawa sahihi. Yeye ni kichuguu na Senzo ni mlima Kilimanjaro.
 
Huyo mwanamke Ana akili kubwa Sanaa.
Pia shule ipo na anapiga kazi .
Na ni mtu anayejielewa.
Sio yule msauzi anayetanga tanga hata ofisi hanaa.
 
Kama mnajua hivyo kwa nini hamjampa kuwa CEO badala yake mmemfanya kuwa mshauri tu.Kumbuka ni hiari kupokea ushauri ama kuukataa
CEO kwenye kampuni ipi?

Ndiyo maana mmeambiwa hata huyo Barbara asiyejitambua ni CEO wa kampuni hewa.

Nyie Wadaawa wasikilizeni tume ya ushindani kibiashara
 
Je alichukuliwa hatua gani kwa kuihujumu simba tatizo hamjiamini mlipeleka police uozo wa mtu asiyekwenda shule kweli Raga hakukosea kuwaita mbumbumbu
 
Senzo ni international figure na ndio maana simba walimfuata huwezi kumlinganisha na msichana ambaye ameshikwa mkono kuja simba uajiri wake umeleta sintomfamu
 
Kwahiyo na ww unategema kabisa kuwa tutapata watalii kutoka kongo na Sudani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…