The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,282
- 117,244
Mmakonde aliyechangamka
Hujanipa jibu
Mtanzania?
Spain?
Msumbiji?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmakonde aliyechangamka
Anamzidi kitu gani Senzo mwenye uzoefu na weledi mkubwa kwenye soccer management?CEO wa Simba Bibi Barbara Gonzalez hataki kufananishwa na Ndugu Senzo Mbatha mshauri wa mabadiliko ndani ya klabu ya Yanga. Katika kutilia mkazo hilo akasema hawezi kubali kufananishwa na Senzo sababu Senzo sio class yake na anaamini katika uwezo wake.
Kitu ambacho kina mantiki ili wapate kufananishwa yapasa yeye na na Senzo wawe on the same class aidha Senzo awe CEO na sio mshauri au Barbara awe Mshauri kama Senzo la sivyo they are not on the same class.
Ngoja tuchek na Mkude amtulize....tutamchangia fine ka muddy ataleta wivu wakeana nyege huyo
Nimesahau nchi ila ni Amerika kusiniHujanipa jibu
Mtanzania?
Spain?
Msumbiji?
Inategemea unawalinganisha katika masuala gani.It's true hamfikii..... ila huwezi kufanya comparison kati ya Mshauri na CEO sio same class
Kolombia!Barbara ana asili ya nchi gani?
Anamzidi kitu gani Senzo mwenye uzoefu na weledi mkubwa kwenye soccer management?
Kuwa side kick ya boss waje wake kunampa kiburi sana. Pathetic Barbara!
Huenda Barbara akawa sahihi. Yeye ni kichuguu na Senzo ni mlima Kilimanjaro.
ana nyege huyo
CEO kwenye kampuni ipi?Kama mnajua hivyo kwa nini hamjampa kuwa CEO badala yake mmemfanya kuwa mshauri tu.Kumbuka ni hiari kupokea ushauri ama kuukataa
MsumbijiHujanipa jibu
Mtanzania?
Spain?
Msumbiji?