DR Mambo Jambo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 11,622
- 26,005
TRy Again Tayari na nafasi yake inachukuliwa na Barbara GonzalezBADO MANGUNGU
TRY AGAIN
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
TRy Again Tayari na nafasi yake inachukuliwa na Barbara GonzalezBADO MANGUNGU
TRY AGAIN
Hapana ukienda kwenye Sport Arena Pia wameandika Na ukienda kw Mo pia kaandikaSource ndiyo hiyo JUSTIN?
Simba ina changamoto sana hata ukitazama hio picha ya kikao unaona tu nikwamba hakukuwa na majadiliano ya maana. Naona vikokotoo mezani ukute washauza mechi wanapiga HESABU za mgao akina Mudi. (Maana KANJIBAI sio poa).Hapana ukienda kwenye Sport Arena Pia wameandika Na ukienda kw Mo pia kaandika
Umeingizwa chaka....hiyo source ya sport arena haijawah kuwa na taarifa sahihi kule XHapana ukienda kwenye Sport Arena Pia wameandika Na ukienda kw Mo pia kaandika
duh!!JUSTIN: Aliyekuwa Mtendaji Mkuu wa Klabu ya Simba,Imani Kajula amefutwa kazi ndani ya Klabu hiyo kufuatia kufanya vibaya kwa Simba.
Je nani anafuata?
View attachment 2964172
Atakuwa Mtendaji mpya wa Simba.JUSTIN ni nani?
Na mangungu kiongozi wa wananchi yuko wapi simba inavituko sana
Wanasema yeye ndo aliyepiga picha.Na mangungu kiongozi wa wananchi yuko wapi simba inavituko sana
Hujui hata uongozi wa simba upojeMangungu asiachwe, na yeye ni moja ya failure kwenye team
Hizo ni dharau za hali ya juu sanaWanasema yeye ndo aliyepiga picha.
So what? Ana underperform sasaHujui hata uongozi wa simba upoje
Mangungu amechaguliwa na wananchi
Mpaka mda wake uishe achaguliwe mwingine huwezi muondoa kihuni kihuniSo what? Ana underperform sasa