CEO wa Simba kufungiwa miaka mitano 5 au maisha kujihusisha na mpira

CEO wa Simba kufungiwa miaka mitano 5 au maisha kujihusisha na mpira

Shida ni kwamba seriakl hairuhusiw kuingilia mpila that y GSM wanawatawala Tiefu efu ila acha bidada awaonyeshe mpira unavyopigwa
 
Nini hiki kimeandikwa?siku hizi jf Kuna mandezi wengi sana
 
Wewe ndio chawa namba moja, unaongea kwa kuonyesha kabisa unaegemea upande gani, uyo babra apeleke ushahidi unaoeleweka sio huo ujinga wako ulioandika hapo, unampangiaje mtu mambo yake binafsi?

Yani mnataka kuwapangia watu washabikie timu gani? Unamchagulia mtu rafiki? Hersi angeachaje kuongea na vijana wake kina kisinda na fistoni eti kwa kuwa simba awataki? Mawazo ya kipumbavu kabisa
 
Mzee wewe hauna akili ni debw tupu kabisa aisee ata sijui unawezaje kuishi kwa jinsi akili zako zilivyokuwa ndogo yaani wewe ni zaidi ya empty set
Unaangaika na punga uyo achana nae, wanashindwa uwanjani wanakuja kubwata utumbo apa, kama babra kafanya kosa sheria ichukue mkondo wake na sio kutafuta huruma ya mtu apa
 
Chukua hii'Simba ni taasisi kubwa kuzidi tff'.

chukua nyingine hii'Simba ina uwezo wa kuivimbia tff mpaka tff wakaomba poo'

nakupa na nyongeza hii hapa[emoji117] 'tff wana ihitaji zaidi Simba kuliko Simba wanavyooihitaji tff'
 
Hapa vipi 👇

EEF428F9-232A-451E-A10B-CBA1F086B78F.jpeg


2612FE3B-D4A8-4482-8FE6-E08A6F50F947.jpeg
 
Cote de vour na kiswahili wapi na wapi? tumieni japo akili.
na hapo ndipo umetumia akili siyo? hakuna team ambayo imefika bongo michezo ya CAf bila utopolo kupeleka maneno ya fitina, usijifanye hujui hilo, ili ionekane kila team inailalamikia simba,jiulize mbona Sope alifuta haraka huo ujinga wake? kashatakiwa tangu tarehe 17 ilivyotokea interview ya south ndipo waka activate plan yao ya kumfungia huyo dada kwa miaka 10
 
Yule msomali anataka kutuharibia mpira wetu kwao hawachezi mpira wanashindna Quran tu mtu mwenyewe anaishi kiujanja ujanja.
 
CEO wa Simba sports club Barbara Gonzalez kuna tetesi akafungiwa miaka mitano 5 au maisha kujihusisha na michezo haswa football

Hii imetokea baada ya yanga kupeleka malalamiko TFF kuhusu tuhuma alizozitoa kwa team hiyo inapokea wageni ambao Simba ilikua ikicheza nao champion league na shirikisho

Imeelezwa kua TFF wakiongozwa na karia bado wana hasira na huyo CEO kwakua aliwabania deal la GSM la billion 2 ambapo wanao huyo mwana dada ni kikwazo kikubwa kwao kwenye mipango yao ya kupiga pesa

Lakini tukifuatilia hili sakata ni kweli viongozi wa yanga Manara na Hersi Said wameonekana wazi wazi wakijihusisha na hao wageni kwa kuwapa mbinu za ushindi na kuwapa morali ili simba afungwe hapa kwa mkapa

Kuna ushahidi wa injinia hersi akiongea kwa video calls na baadhi ya wachezaji wa berkane na kuwapa morali ya kuja kwa mkapa na kuwafunga simba na walimpa ahadi ya kutimiza mambo waliyo yajadili..

Pia upo ushahidi Manara akiwashauri team ya nje inayokuja kwa mkapa wasivute ata pumzi ya Tanzania na kuwapa mbinu zote wanazotumia simba kwa mkapa ikiwemo na kuweka sumu kwenye vyumba vya kubadilishia nguo .. pia zipo comments kwenye page ya orlando aliyoandika hivi ndugu zao ambao ni yanga wapo kwaajili ya kuwashangilia wakija kwa mkapa hivyo mashabiki watawakuta huku wasije nao..

Nadhani kabla ya Barbara TFF ingeanza na hao viongozi wa yanga kwa kuwahoji ili waeleze vizuri kwanini wanafanya hivyo..

Inaonesha zile 2Billion karia na genge lake wamekula na wahujui namna ya kuzirudisha hivyo wamegeuka kua machawa wa GSM na kufuata matakwa yao yote.. na vikao vyote vinafanyika nyumbani kwa GSM

Kwa hili TFF chini ya karia mjitathimini na viongozi wa serikali wizara inayo husika na michezo itupie jicho huku kwenye football kuna uhuni mwingi sanaa

Ukurasa Instagram wa simbadaily ulifichua hili week mbili kabla na TFF wakakanusha na leo wamekuja na jambo lile lile walilo kanusha ..View attachment 2231624
haka kadada kanaupiga mwingi, wasifikiri Babra nikama kocha wa Mbeya kwanza!
...Hii muvi ngoja niirecord itakapoishia!
 
Yule msomali anataka kutuharibia mpira wetu kwao hawachezi mpira wanashindna Quran tu mtu mwenyewe anaishi kiujanja ujanja.
Hana hata pasipoti tumuitie migration kumbe ndo mana utopolo wanabebwa bebwa wachukue ubingwa
 
Back
Top Bottom