iyokichiku
Member
- Oct 30, 2023
- 36
- 70
Kipindi klabu ya Simba inamtafuta CEO mpya mashabiki wengi walitoa maoni yao kwamba KAJULA anao unasaba na Young Africans, viongozi wakaendelea na mchakato na wakampa ajira.
Hata baada ya kupigwa goli 5-1 jamaa hana wasiwasi kwasababu yeye ni Yanga na yupo Simba kwa malengo ya kufanikisha yale yote ya upande wa pili.
Hakuna popote anaposikitika wala kuwa mkali kwa wachezaji waliocheza chini ya kiwango.
Huyu pia hatufai, wachunguzeni Kajula na Mangungu vizuri.
Tutaendelea kupigwa sana na Yanga.