CEO wa Simba mashabiki walistuka kwamba wewe ni Yanga. Nimeanza kuamini

iyokichiku

Member
Joined
Oct 30, 2023
Posts
36
Reaction score
70
Kipindi klabu ya Simba inamtafuta CEO mpya mashabiki wengi walitoa maoni yao kwamba KAJULA anao unasaba na Young Africans, viongozi wakaendelea na mchakato na wakampa ajira.

Hata baada ya kupigwa goli 5-1 jamaa hana wasiwasi kwasababu yeye ni Yanga na yupo Simba kwa malengo ya kufanikisha yale yote ya upande wa pili.

Hakuna popote anaposikitika wala kuwa mkali kwa wachezaji waliocheza chini ya kiwango.

Huyu pia hatufai, wachunguzeni Kajula na Mangungu vizuri.

Tutaendelea kupigwa sana na Yanga.
 
Wachezaji wameuza mechi, Manula kafungisha makusudi, Yanga imeroga mechi kwa kupitia mlango usio rasmi, Mangungu mbaya, Kajula ni Yanga, yaani Bado hamjasema!!!

Kumbe 5G imeuma mno aisee mi sikujua!
 
Kipindi klabu ya Simba inamtafuta CEO mpya mashabiki wengi walitoa maoni yao kwamba KAJULA anao unasaba na young Africans viongozi wakaendelea na mchakato na wakampa ajira.

Hata baada ya kupigwa goli 5-1 jamaa Hana wasiwasi kwaeababu yeye ni yanga na yupo Simba kwa malengo ya kufanikisha yale yote ya upande wa pili.

Hakuna popote anaposikitika Wala kuwa mkali kwa wachezaji waliocheza chini ya kiwango.
Huyu pia hatufai, wachunguzeni kajula na mangungu vizuri.
Tutaendelea kupigwa sana na yanga.
Kwani Kajula anacheza namba ngapi uwanjani?
 
Hivi kwanini tusimpime mtu utendaji wake badala ya kuja na hoja za kipumbavu za Simba na Yanga kwa watendaji?

Yani mtu aharibu kazi yake sababu anaipenda Yanga? Sijawahi kuamini ktk hilo.

Halafu vilabu vyetu bado havijafikia hiyo level ya kijasusi ya kupandikiza watu hasa katika nafasi nyeti kama hiyo.
Tuachane na hizi fikra, tujikite kwenye kujenga na kupima uwezo wa watu kwa mafanikio/kazi zao ndani ya vilabu.
 
Kipindi klabu ya Simba inamtafuta CEO mpya mashabiki wengi walitoa maoni yao kwamba KAJULA anao unasaba na young Africans viongozi wakaendelea na mchakato na wakampa ajira.

Hata baada ya kupigwa goli 5-1 jamaa Hana wasiwasi kwaeababu yeye ni yanga na yupo Simba kwa malengo ya kufanikisha yale yote ya upande wa pili.

Hakuna popote anaposikitika Wala kuwa mkali kwa wachezaji waliocheza chini ya kiwango.
Huyu pia hatufai, wachunguzeni kajula na mangungu vizuri.
Tutaendelea kupigwa sana na yanga.
Huu ni upuuzi tu. Badala ya kuangalia mbele bado mnabweka ndiyo maana mnalishwa vibudu gongowazi wahed wewe
 
Kipindi klabu ya Simba inamtafuta CEO mpya mashabiki wengi walitoa maoni yao kwamba KAJULA anao unasaba na young Africans viongozi wakaendelea na mchakato na wakampa ajira.

Hata baada ya kupigwa goli 5-1 jamaa Hana wasiwasi kwaeababu yeye ni yanga na yupo Simba kwa malengo ya kufanikisha yale yote ya upande wa pili.

Hakuna popote anaposikitika Wala kuwa mkali kwa wachezaji waliocheza chini ya kiwango.
Huyu pia hatufai, wachunguzeni kajula na mangungu vizuri.
Tutaendelea kupigwa sana na yanga.

Kwa hiyo ulitaka huyo CEO ajitokeze hadharani na kuanza kulia, ili aonekane ana huzuni ya timu yake kufungwa goli 5-1 na Yanga!! Au ulitaka awe mkali kwa wachezaji, kwani yeye ni kocha?

Kwa hili unawaaibisha mashabiki wenzako.
 
Kipindi klabu ya Simba inamtafuta CEO mpya mashabiki wengi walitoa maoni yao kwamba KAJULA anao unasaba na young Africans viongozi wakaendelea na mchakato na wakampa ajira.

Hata baada ya kupigwa goli 5-1 jamaa Hana wasiwasi kwaeababu yeye ni yanga na yupo Simba kwa malengo ya kufanikisha yale yote ya upande wa pili.

Hakuna popote anaposikitika Wala kuwa mkali kwa wachezaji waliocheza chini ya kiwango.
Huyu pia hatufai, wachunguzeni kajula na mangungu vizuri.
Tutaendelea kupigwa sana na yanga.
Pole sana. Naona mafua yamekubana mno.
 
Hivi kwanini tusimpime mtu utendaji wake badala ya kuja na hoja za kipumbavu za Simba na Yanga kwa watendaji?

Yani mtu aharibu kazi yake sababu anaipenda Yanga? Sijawahi kuamini ktk hilo.

Halafu vilabu vyetu bado havijafikia hiyo level ya kijasusi ya kupandikiwa watu hasa katika nafasi nyeti kama hiyo.
Tuachane na hizi fikra, tujikite kwenye kujenga na kupima uwezo wa watu kwa mafanikio/kazi zao ndani ya vilabu.
Hilo la kuinstall mapandikizi lipo ila halina nguvu kiasi hicho, kwa saivi kinachotokea ni exit strategy tu ya kukwepa na kupunguza makali ya 5G kwa kusingizia flan alikuaga team flan
 
Kuna standards zikiwa set kuna namna post kama hizi hatutaona.

Kwa Tz timu zenye msuli wa kifedha ni 3. Hizi timu 3 zikaset standard kwamba malengo ni international achievement kuna vitu vingi vitabadilika.

Kwanza mikataba haitakua ya sasa ya mwaka mmoja au miwili.

Kocha atachagua nani asainiwe.

Kocha atahukumiwa kwa project nzima na siyo kufungwa kwenye derby.

Timu zitalazimika kuendana na standards za nje, wasemaji wa timu automatically watakua makocha. Wapiga domo watatafuta maisha mengine.

Rekodi kubwa na ndogo zitaanza kutunzwa.

Eventually mashabiki watajua kua mafanikio ya timu siyo kushinda derby.

Ila kwa sasa shabiki anatarajia ceo alie kisa mechi moja. Siyo project kufeli, no, ni mechi moja.
 
Back
Top Bottom