iyokichiku
Member
- Oct 30, 2023
- 36
- 70
Kwani Kajula anacheza namba ngapi uwanjani?Kipindi klabu ya Simba inamtafuta CEO mpya mashabiki wengi walitoa maoni yao kwamba KAJULA anao unasaba na young Africans viongozi wakaendelea na mchakato na wakampa ajira.
Hata baada ya kupigwa goli 5-1 jamaa Hana wasiwasi kwaeababu yeye ni yanga na yupo Simba kwa malengo ya kufanikisha yale yote ya upande wa pili.
Hakuna popote anaposikitika Wala kuwa mkali kwa wachezaji waliocheza chini ya kiwango.
Huyu pia hatufai, wachunguzeni kajula na mangungu vizuri.
Tutaendelea kupigwa sana na yanga.
Anasikiliza story za vijiweni hajui kajula kakulia simba kama manara ni simba zaidi yake mtoa madaHamumjui kajula
Ndio mwazilishi wa Simba day
Miaka hio mkiwa kwenu manjilinji
Kajula anakuwaje yanga kwa mfano
Hassan dalali ndio mwanzilishi,kipindi hicho kajura yupo indiaHamumjui kajula
Ndio mwazilishi wa Simba day
Miaka hio mkiwa kwenu manjilinji
Kajula anakuwaje yanga kwa mfano
Huu ni upuuzi tu. Badala ya kuangalia mbele bado mnabweka ndiyo maana mnalishwa vibudu gongowazi wahed weweKipindi klabu ya Simba inamtafuta CEO mpya mashabiki wengi walitoa maoni yao kwamba KAJULA anao unasaba na young Africans viongozi wakaendelea na mchakato na wakampa ajira.
Hata baada ya kupigwa goli 5-1 jamaa Hana wasiwasi kwaeababu yeye ni yanga na yupo Simba kwa malengo ya kufanikisha yale yote ya upande wa pili.
Hakuna popote anaposikitika Wala kuwa mkali kwa wachezaji waliocheza chini ya kiwango.
Huyu pia hatufai, wachunguzeni kajula na mangungu vizuri.
Tutaendelea kupigwa sana na yanga.
Huyo ni gongowazi anakejeli tuKwani Kajula anacheza namba ngapi uwanjani?
Kipindi klabu ya Simba inamtafuta CEO mpya mashabiki wengi walitoa maoni yao kwamba KAJULA anao unasaba na young Africans viongozi wakaendelea na mchakato na wakampa ajira.
Hata baada ya kupigwa goli 5-1 jamaa Hana wasiwasi kwaeababu yeye ni yanga na yupo Simba kwa malengo ya kufanikisha yale yote ya upande wa pili.
Hakuna popote anaposikitika Wala kuwa mkali kwa wachezaji waliocheza chini ya kiwango.
Huyu pia hatufai, wachunguzeni kajula na mangungu vizuri.
Tutaendelea kupigwa sana na yanga.
Pole sana. Naona mafua yamekubana mno.Kipindi klabu ya Simba inamtafuta CEO mpya mashabiki wengi walitoa maoni yao kwamba KAJULA anao unasaba na young Africans viongozi wakaendelea na mchakato na wakampa ajira.
Hata baada ya kupigwa goli 5-1 jamaa Hana wasiwasi kwaeababu yeye ni yanga na yupo Simba kwa malengo ya kufanikisha yale yote ya upande wa pili.
Hakuna popote anaposikitika Wala kuwa mkali kwa wachezaji waliocheza chini ya kiwango.
Huyu pia hatufai, wachunguzeni kajula na mangungu vizuri.
Tutaendelea kupigwa sana na yanga.
Hilo la kuinstall mapandikizi lipo ila halina nguvu kiasi hicho, kwa saivi kinachotokea ni exit strategy tu ya kukwepa na kupunguza makali ya 5G kwa kusingizia flan alikuaga team flanHivi kwanini tusimpime mtu utendaji wake badala ya kuja na hoja za kipumbavu za Simba na Yanga kwa watendaji?
Yani mtu aharibu kazi yake sababu anaipenda Yanga? Sijawahi kuamini ktk hilo.
Halafu vilabu vyetu bado havijafikia hiyo level ya kijasusi ya kupandikiwa watu hasa katika nafasi nyeti kama hiyo.
Tuachane na hizi fikra, tujikite kwenye kujenga na kupima uwezo wa watu kwa mafanikio/kazi zao ndani ya vilabu.