kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 13,778
- 14,214
CEO anasema Morrison ameomba mwenyewe aende nyumbani kwao akamalize matatizo ya nyumbani kwao lakini Morrison anasema hakuwa na matatizo ila alilazimishwa aondoke na CEO.
Swali ni kama Morriso anasema ukweli ni kwanini CEO, Barbara audanganye umma kuhusu huyu mchezaji, je, kuna nini anakificha na kwanini, na je, kudanganya sio kosa la kisheria?
Kama CEO wa Simba amesema ukweli kuhusu Morrison na kuondoka kwake, kwanini Morrison adanganye umma? Na je kudanganya sio kosa kisheria? Hasitahili kupewa adhabu ya kusingizia?
Nani ni mkweli kati yao?