Tunachojua tu ni kwamba Mchezaji Bernard Morrison ameshamalizana na Simba SC na atabaki mengine ni Pumba zaidi.CEO anasema Morrison ameomba mwenyewe aende nyumbani kwao akamalize matatizo ya nyumbani kwao lakini Morrison anasema hakuwa na matatizo ila alilazimishwa aondoke na CEO.
Swali ni kama Morriso anasema ukweli ni kwanini CEO, Barbara audanganye umma kuhusu huyu mchezaji, je, kuna nini anakificha na kwanini, na je, kudanganya sio kosa la kisheria?
Kama CEO wa Simba amesema ukweli kuhusu Morrison na kuondoka kwake, kwanini Morrison adanganye umma? Na je kudanganya sio kosa kisheria? Hasitahili kupewa adhabu ya kusingizia?
Nani ni mkweli kati yao?
🤣🤣🤣🤣 free kick statementTunachojua tu ni kwamba Mchezaji Bernard Morrison ameshamalizana na Simba SC na atabaki mengine ni Pumba zaidi.
Huyu mwanamama kila mtu anamsema yeyeCEO anasema Morrison ameomba mwenyewe aende nyumbani kwao akamalize matatizo ya nyumbani kwao lakini Morrison anasema hakuwa na matatizo ila alilazimishwa aondoke na CEO.
Swali ni kama Morriso anasema ukweli ni kwanini CEO, Barbara audanganye umma kuhusu huyu mchezaji, je, kuna nini anakificha na kwanini, na je, kudanganya sio kosa la kisheria?
Kama CEO wa Simba amesema ukweli kuhusu Morrison na kuondoka kwake, kwanini Morrison adanganye umma? Na je kudanganya sio kosa kisheria? Hasitahili kupewa adhabu ya kusingizia?
Nani ni mkweli kati yao?
Umemuelewa vizuri morrison Alichosema lakini, kasema walitaka kumsainisha mkataba kwa pesa kiduchu akagoma wakamwambia aondoke kwao ajifanye ana matatizo ya kifamilia, kwaiyo alidakwa juu kwa juu akapewa mkataba biashara ikaishia hapo, mambo ya kumalizana ni hadithi za kwenye kahawaTunachojua tu ni kwamba Mchezaji Bernard Morrison ameshamalizana na Simba SC na atabaki mengine ni Pumba zaidi.
Huyu mwanamama kila mtu anamsema yeye