dinongo
JF-Expert Member
- Jun 25, 2022
- 814
- 1,054
Tahila hilo dadaUmeandika meeeeeengiii utadhani utatulipa tukisoma.Mecky Mexime?Yule anayeiponda Simba kila siku?Halafu,Babra ni mwanamke.Ulitaka aongeaje?Acha ujinga!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tahila hilo dadaUmeandika meeeeeengiii utadhani utatulipa tukisoma.Mecky Mexime?Yule anayeiponda Simba kila siku?Halafu,Babra ni mwanamke.Ulitaka aongeaje?Acha ujinga!
Na mwanzilishi wa hili Neno Popoma hapa JamiiForums ni nani Ndugu?Popoma maana yake juha
Kumbe JamiiForums kuna Mtu anaitwa Gentamycin? Tunayemjua wengi anaitwa GENTAMYCINE na sijui sasa hivi kapotelea wapi.Sasa hapa ndo nimeamini wewe ni Gentamycin
Mwanzilishi wa neno popoma hapa jukwaani ni member mwenzetu Gentamycine,ambaye kwa sasa anatumikia kifungo,sijui kawagongea Moderators mademu wao, kila akimaliza kifungo kimoja wana top-up tena na tena. Tumuombee anachangamsha sana jukwaa.Na mwanzilishi wa hili Neno Popoma hapa JamiiForums ni nani Ndugu?
Mkuu unamtia ujinga tuHii mada imetoka kwenye kichwa chenye akili mingi sana Tanzania nzima.
Ndio huyu huyu mwenye huu Uzi..yaani hata akibadili majina wadau wanamjua tuMwanzilishi wa neno popoma hapa jukwaani ni member mwenzetu Gentamycine,ambaye kwa sasa anatumikia kifungo,sijui kawagongea Moderators mademu wao, kila akimaliza kifungo kimoja wana top-up tena na tena. Tumuombee anachangamsha sana jukwaa.
Utopolo mtulie... Babra yupo sana....Niliposemaga huyu ma..la..yar ndio kaja kuleta uchawi simba watu walinishukia kama mwewe. Sasa inabidi wale matapishi yao tu haina jinsi.