CEO wa Simba Sports Club Barbara Gonzalenz ni kiongozi wa aina gani

Tatizo la GSM wanalazimisha kuwatafutia utopolo ubingwa.
 
Yule ni mtendaji, nyuma yake kuna Bodi. Ila inashangaza kuwa na viongozi wa hovyo kama TFF. Hawa ni redundant kabisa
 
Jamaa gabachori kampa Team hawara sasa hawara anaendesha team anavyotaka
 
Yeah, GSM angepigana apate udhamini ukuu ambao kisheria ndio unaotajwa katika maandishi. Mdhamini mwenza hajatajwa kabisa katika maeneo hayo anayoyataka
Kwahiyo GSM Ni Ujanjaujanja Kwenye Huo Udhamini Wake
Ila Naona Kama Hii League Imejaa Shida
Huyo GSM Wangemtupa Nje Asishiriki Michezo
 
Yule ni mtendaji, nyuma yake kuna Bodi. Ila inashangaza kuwa na viongozi wa hovyo kama TFF. Hawa ni redundant kabisa
Mkuu mpira wetu unahitaji hela ili kuendelea kukua.

TFF kuamua kwenda kwa GSM kuomba udhamini sio kitu kibaya.

Ila ikumbukwe GSM Ni group of companies Kama ilivyo kwa Mo na Azam.GSM ina cluster zifuatazo.

Manufacturing

Logistics

Retail

Trading.

Ila ikumbukwe GSM na Yanga wameingia contract kupitia GSM foam,hii ni cluster ya Manufacturing.

Hivyo basi GSM anaweza akatumia cluster ambayo ni tofauti na ile ambayo inatumika kutengeneza jersey (ambayo yeye na Yanga ndo partners) ili kuhalalisha udhamini wake.
 
Smartness!!
 
Yule ni mtendaji, nyuma yake kuna Bodi. Ila inashangaza kuwa na viongozi wa hovyo kama TFF. Hawa ni redundant kabisa
Akina Karia si ni chama la wanamikia au,unadhani mbele ya fedha utakumbuka sheria au unadhi?
 
Kama siyo Mtanzania inawezekana yupo hapo Simba kwa lengo maalum dhidi ya ya Tanzania...naishia hapo ...watch out...Simba na Yanga Zina mashabiki in millions ndani ya nchi...
 
Huu uzi unathibitisha kweli huyu dada ni mwamba aisee
 
Ni wa ajabu sana.

Timu ikifanya vibaya haposti chochote kwenye mitandao ya kijamii ya Twitter na Instagram ila timu ilishinda utashangaa anaanza kiposti kusifia timu, ni wa ajabu sana.
 
Ni wa ajabu sana.

Timu ikifanya vibaya haposti chochote kwenye mitandao ya kijamii ya Twitter na Instagram ila timu ilishinda utashangaa anaanza kiposti kusifia timu, ni wa ajabu sana.
Hong2ra kwa kuchungulia page zake....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…