CEO-YANGA Tumeshatimiza Malengo hayo Mengine yakija ni Bahati tuu?

CEO wa Yanga Eng.Hersi saidi alisikika akisema wao Mpango wao ilikuwa ni Kufika Makundi!
Ina Maana Matokeo Mengine yakija ni Bahati tuu Au Mbeleko?

Au ndio kwenda unajificha kwa kuogopa?
Hakuna Kitu Muhimu kama Kujiamini ktk Maisha au kitu ifanyacho.
Unachokiomba ndio utapata.

Either unataka pa kujificha ili uje ufanye Surprise kwa watu Ama kujificha kwa lawana!
Yote kwa yote unataka tuamini kuwa ukisonga mbele ni Bahati au mbeleko sababu haukuwa na Mpango huo,Ina maana pia Haukuwa na Mikakati ya Kwenda mbali zaidi.
Be as Engineer,
Be as A leader Acha Uoga.
Sisi ni Waelewa..Over
Unenayo ndio hutokea.
CEO wa Yanga sio Hersi.
Usikariri maisha
 
Huna akili Hersi amekuwa CEO tena, aibu naona mimi
 
Hersi Ameona mbele yake kuna wanyama wakali wenye uchu na kombe ( AL AHLY NA CR BELUIZDAD) na hawezi toboa .

Akaamua atumie ujanja kuepuka lawama na kusema …. “sizitaki mbichi hizi”
Yanga waliset target yao kabla hata ya kucheza na ASAS.
Walijuaje kama watakutana na hao uliowataja?
Mungu tuwekee RAGE wetu.
 
Kwako ni dogo ila kwa wenye timamu ni kubwa huwezi kusema waziri mkuu Samia watu wakuone una timamu
Okay, basi chukua hiyo ya Hersi kusema kwamba malengo ya Yanga yameshatimia, asipoingia robo fainali wala asiulizwe yeye au kocha zaidi ya kupongezwa kwa kufikia malengo
 
CEO wa Yanga Eng.Hersi saidi alisikika akisema wao Mpango wao ilikuwa ni Kufika Makundi!
Ina Maana Matokeo Mengine yakija ni Bahati tuu Au Mbeleko?

Au ndio kwenda unajificha kwa kuogopa?
Hakuna Kitu Muhimu kama Kujiamini ktk Maisha au kitu ifanyacho.
Unachokiomba ndio utapata.

Either unataka pa kujificha ili uje ufanye Surprise kwa watu Ama kujificha kwa lawana!
Yote kwa yote unataka tuamini kuwa ukisonga mbele ni Bahati au mbeleko sababu haukuwa na Mpango huo,Ina maana pia Haukuwa na Mikakati ya Kwenda mbali zaidi.
Be as Engineer,
Be as A leader Acha Uoga.
Sisi ni Waelewa..Over
Unenayo ndio hutokea.
Tokea lini Hersi akawa CEO wa yanga? Ulichokiandika kinasadifu usaha uliojaza kichwani mwako, Unajua maana ya malengo wewe? Msimu uliopita yanga alikuwa na malengo ya kufika hatua ya makundi kombe la shirikisho but kilichotokea unakijua sio mpaka uhadithiwe!
 
Nimekutukana kimoyomoyo tusi la kubwa wastani[emoji30]
Ungekuwa karibu ningekuchapa fimbo kabisa wewe
Nenda Mkadanganyane na wenzako!
Mnapanga Mikakati ili mkishindwa Mpate pa Kujitetea… Shame on you!
 
Kwani Malengo yaliyowekwa toka mwanzo ni yapi..?? Na je yamefikiwa au hayajafikiwa..??? Na kama yamefikiwa, kosa lake liko wapi?

Always jifunze ku-set attainable goals. Ukishayafikia ndo unaongeza malengo mengine ya juu zaidi…!!! Na kama hajaamua kuyaongeza SIO DHAMBI, ni maamuzi yake kama Hersi, ila mashabiki na sisi tuna malengo yetu tunayotamani…!!
 
CEO wa Yanga Eng.Hersi saidi alisikika akisema wao Mpango wao ilikuwa ni Kufika Makundi!
Ina Maana Matokeo Mengine yakija ni Bahati tuu Au Mbeleko?

Au ndio kwenda unajificha kwa kuogopa?
Hakuna Kitu Muhimu kama Kujiamini ktk Maisha au kitu ifanyacho.
Unachokiomba ndio utapata.

Either unataka pa kujificha ili uje ufanye Surprise kwa watu Ama kujificha kwa lawana!
Yote kwa yote unataka tuamini kuwa ukisonga mbele ni Bahati au mbeleko sababu haukuwa na Mpango huo,Ina maana pia Haukuwa na Mikakati ya Kwenda mbali zaidi.
Be as Engineer,
Be as A leader Acha Uoga.
Sisi ni Waelewa..Over
Unenayo ndio hutokea.
Wewe mkuu ni mgonjwa wa akili! Tangu lini Hersi Said amekuwa CEO wa Yanga?
 
CEO wa Yanga Eng.Hersi saidi alisikika akisema wao Mpango wao ilikuwa ni Kufika Makundi!
Ina Maana Matokeo Mengine yakija ni Bahati tuu Au Mbeleko?

Au ndio kwenda unajificha kwa kuogopa?
Hakuna Kitu Muhimu kama Kujiamini ktk Maisha au kitu ifanyacho.
Unachokiomba ndio utapata.

Either unataka pa kujificha ili uje ufanye Surprise kwa watu Ama kujificha kwa lawana!
Yote kwa yote unataka tuamini kuwa ukisonga mbele ni Bahati au mbeleko sababu haukuwa na Mpango huo,Ina maana pia Haukuwa na Mikakati ya Kwenda mbali zaidi.
Be as Engineer,
Be as A leader Acha Uoga.
Sisi ni Waelewa..Over
Unenayo ndio hutokea.
Wanajua mwendo wameumaliza 🤣🤣🤣
 
Engineer Hersi siyo CEO Wa Yanga ni Rais wa Yanga, mpaka hapo umefeli, chambua timu ya makolo wenzio achana na timu pendwa Tz, Timu ya Wananchi.
 
Okay, basi chukua hiyo ya Hersi kusema kwamba malengo ya Yanga yameshatimia, asipoingia robo fainali wala asiulizwe yeye au kocha zaidi ya kupongezwa kwa kufikia malengo
Hebu tupe faida ya kuweka malengo ambayo huwezi kuyafikia
 
Back
Top Bottom