CEO Yanga: Tutaionyesha dunia ukubwa na ubora wa Yanga

Smart codetz

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2023
Posts
218
Reaction score
875
“Tumepangwa kwenye kundi lenye ushindani pamoja na mabingwa watetezi Al Ahly.

Bila shaka ni kundi lenye msisimko wa aina yake. Ushindani hautufanyi tuogope, bali inatupa fursa ya kuonesha dunia ukubwa na ubora wetu”

@andre_mtine - Mtendaji Mkuu wa Yanga SC

20231006_223238.jpg
 
View attachment 2773970
Ajue kbsa huku sio NDONDO CUP
 
“Tumepangwa kwenye kundi lenye ushindani pamoja na mabingwa watetezi Al Ahly.

Bila shaka ni kundi lenye msisimko wa aina yake. Ushindani hautufanyi tuogope, bali inatupa fursa ya kuonesha dunia ukubwa na ubora wetu”

@andre_mtine - Mtendaji Mkuu wa Yanga SC

View attachment 2773970
Hapo tu tayari mmeshaogopa
 
Uzi tayari?????

1. Weka source ya Taarifa yako.

2. Hayo makundi yamepangwa lini?

3. Unaweza ukaweka yamepangwa NCHI Gani na michezo itaanza lini.

4. JE kundi la Yanga Lina timu Gani????

5. Nafasi ya yanga ipoje Katika kundi husika.

Jitahidini kuandika kama Angalau WATU wmlio Balehe, sio kuandika kama mtoto wa Darasa la Tatu.

ILA NIMEGUNDUA WATANZANIA WENGI HATUNA AKILI NA TUMENYIMWA SANA ELIMU, SASA NA UVIVU WA KUSOMA NDIO TUMEKUWA MBUMBUMBU KABISA.

JISAHIHISHE.
 
Angeanza na IHEFU
 
  • Thanks
Reactions: BRN

Maneno yamekutoka sana mkuu.
Kumbe maskini hata hujui kua makundi yamepangwa jana mchana na kila mpenda soka anajua makundi ya simba na yanga.

Umetukana na watz kua wamekosa akili, elimu na juu ya uvivu wa kusoma ila kumbe ungejiongeza kusoma nyuzi chache tuu jukwaa la sports ungekua well informed.

NB: ukiandika nyuzi zenye kusema draw na makundi ya CAF, zinaunganishwa na nyuzi za juzi huko. Sioni shida kwa mleta mada.
 
Uzi tayari?????

1. Weka source ya Taarifa yako.

2. Hayo makundi yamepangwa lini?

3. Unaweza ukaweka yamepangwa NCHI Gani na michezo itaanza lini.

4. JE kundi la Yanga Lina timu Gani????

5. Nafasi ya yanga ipoje Katika kundi husika.

Jitahidini kuandika kama Angalau WATU wmlio Balehe, sio kuandika kama mtoto wa Darasa la Tatu.

ILA NIMEGUNDUA WATANZANIA WENGI HATUNA AKILI NA TUMENYIMWA SANA ELIMU, SASA NA UVIVU WA KUSOMA NDIO TUMEKUWA MBUMBUMBU KABISA.

JISAHIHISHE.
Mkuu inawezekana wewe ndio huna akili na usiunganishe watanzania wote

Umekurupuka Sana
 
Uzi tayari?????

1. Weka source ya Taarifa yako.

2. Hayo makundi yamepangwa lini?

3. Unaweza ukaweka yamepangwa NCHI Gani na michezo itaanza lini.

4. JE kundi la Yanga Lina timu Gani????

5. Nafasi ya yanga ipoje Katika kundi husika.

Jitahidini kuandika kama Angalau WATU wmlio Balehe, sio kuandika kama mtoto wa Darasa la Tatu.

ILA NIMEGUNDUA WATANZANIA WENGI HATUNA AKILI NA TUMENYIMWA SANA ELIMU, SASA NA UVIVU WA KUSOMA NDIO TUMEKUWA MBUMBUMBU KABISA.

JISAHIHISHE.
Dogo unatakiwa kupunguza umuch know. Ni muda sasa nimegundua una hili tatizo.
 
“Tumepangwa kwenye kundi lenye ushindani pamoja na mabingwa watetezi Al Ahly.

Bila shaka ni kundi lenye msisimko wa aina yake. Ushindani hautufanyi tuogope, bali inatupa fursa ya kuonesha dunia ukubwa na ubora wetu”

@andre_mtine - Mtendaji Mkuu wa Yanga SC

View attachment 2773970

Mwongoooo
Alishasema wao Mpango wao ni Kuishia Hatua ya Makundi tuuu!
Ina Maana Matokeo mengine yakija ni Kwa bahati tuu au mbeleko sababu kama kitu hakika kwenye Mpango wako ina maana pia huna Mkakati nacho/mbinu nacho.
 
Dogo unatakiwa kupunguza umuch know. Ni muda sasa nimegundua una hili tatizo.
Obrigado kwa kulitambua hilo.
Na pendekeza lile jina Popoma liamie kwa huyo mwamba.
Sijui ni mwalim wa chekechea huyo!!!
 
Back
Top Bottom