Smart codetz
JF-Expert Member
- Jan 25, 2023
- 218
- 875
Ajue kbsa huku sio NDONDO CUP“Tumepangwa kwenye kundi lenye ushindani pamoja na mabingwa watetezi Al Ahly.
Bila shaka ni kundi lenye msisimko wa aina yake. Ushindani hautufanyi tuogope, bali inatupa fursa ya kuonesha dunia ukubwa na ubora wetu”
@andre_mtine - Mtendaji Mkuu wa Yanga SC
View attachment 2773970
Hapo tu tayari mmeshaogopa“Tumepangwa kwenye kundi lenye ushindani pamoja na mabingwa watetezi Al Ahly.
Bila shaka ni kundi lenye msisimko wa aina yake. Ushindani hautufanyi tuogope, bali inatupa fursa ya kuonesha dunia ukubwa na ubora wetu”
@andre_mtine - Mtendaji Mkuu wa Yanga SC
View attachment 2773970
Angeanza na IHEFU“Tumepangwa kwenye kundi lenye ushindani pamoja na mabingwa watetezi Al Ahly.
Bila shaka ni kundi lenye msisimko wa aina yake. Ushindani hautufanyi tuogope, bali inatupa fursa ya kuonesha dunia ukubwa na ubora wetu”
@andre_mtine - Mtendaji Mkuu wa Yanga SC
View attachment 2773970
Hata dunia ya Tanzania tu inatosha hivi unadhani kundi gani lenye kuvutia kuangalia kama siyo kundi lenye bingwa mtetezi usiongozwe na upofu wa umbumbuniEti waioneshe nini dunia? Uto bwana! Dunia ya wapi hiyo itakayojisumbua kucheki game ya uto
Maneno yamekutoka sana mkuu.Uzi tayari?????
1. Weka source ya Taarifa yako.
2. Hayo makundi yamepangwa lini?
3. Unaweza ukaweka yamepangwa NCHI Gani na michezo itaanza lini.
4. JE kundi la Yanga Lina timu Gani????
5. Nafasi ya yanga ipoje Katika kundi husika.
Jitahidini kuandika kama Angalau WATU wmlio Balehe, sio kuandika kama mtoto wa Darasa la Tatu.
ILA NIMEGUNDUA WATANZANIA WENGI HATUNA AKILI NA TUMENYIMWA SANA ELIMU, SASA NA UVIVU WA KUSOMA NDIO TUMEKUWA MBUMBUMBU KABISA.
JISAHIHISHE.
Mkuu inawezekana wewe ndio huna akili na usiunganishe watanzania woteUzi tayari?????
1. Weka source ya Taarifa yako.
2. Hayo makundi yamepangwa lini?
3. Unaweza ukaweka yamepangwa NCHI Gani na michezo itaanza lini.
4. JE kundi la Yanga Lina timu Gani????
5. Nafasi ya yanga ipoje Katika kundi husika.
Jitahidini kuandika kama Angalau WATU wmlio Balehe, sio kuandika kama mtoto wa Darasa la Tatu.
ILA NIMEGUNDUA WATANZANIA WENGI HATUNA AKILI NA TUMENYIMWA SANA ELIMU, SASA NA UVIVU WA KUSOMA NDIO TUMEKUWA MBUMBUMBU KABISA.
JISAHIHISHE.
Dogo unatakiwa kupunguza umuch know. Ni muda sasa nimegundua una hili tatizo.Uzi tayari?????
1. Weka source ya Taarifa yako.
2. Hayo makundi yamepangwa lini?
3. Unaweza ukaweka yamepangwa NCHI Gani na michezo itaanza lini.
4. JE kundi la Yanga Lina timu Gani????
5. Nafasi ya yanga ipoje Katika kundi husika.
Jitahidini kuandika kama Angalau WATU wmlio Balehe, sio kuandika kama mtoto wa Darasa la Tatu.
ILA NIMEGUNDUA WATANZANIA WENGI HATUNA AKILI NA TUMENYIMWA SANA ELIMU, SASA NA UVIVU WA KUSOMA NDIO TUMEKUWA MBUMBUMBU KABISA.
JISAHIHISHE.
“Tumepangwa kwenye kundi lenye ushindani pamoja na mabingwa watetezi Al Ahly.
Bila shaka ni kundi lenye msisimko wa aina yake. Ushindani hautufanyi tuogope, bali inatupa fursa ya kuonesha dunia ukubwa na ubora wetu”
@andre_mtine - Mtendaji Mkuu wa Yanga SC
View attachment 2773970
Obrigado kwa kulitambua hilo.Dogo unatakiwa kupunguza umuch know. Ni muda sasa nimegundua una hili tatizo.