NDINDA
Platinum Member
- Apr 4, 2011
- 10,572
- 48,607
Mkenya mwafrica hana chake..Sio tu kwa hizi "startups"...enda kwa mashamba ya Maua na majani chai, Umiliki wa mabenki na makampuni ya viwanda. Huko kote ni wazungu na wahindi asilimia 90% . Ila miafrika jobless ya kikenya ikiwa jalalani kibera itasifia " Uchumi wa kati"
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]