Certificate in clinical medicine(clinical assistant).

MR. KIDNEY

Member
Joined
Sep 17, 2013
Posts
17
Reaction score
1
Jamani wana jf naomba kuuliza hivi mtu aliyemaliza kozi hyo ya clinical assistant anaweza kusoma degree ya medical administration au management? Maana nasikia kwamba sifa ni "any medical related course".
Naomba kusaidiwa.
 
clinical assnt ni certificate ya clinical medicene,umeona wap mtu mwenye certificate akaenda kusoma degree program?clinical assnt had asome degree ni lazima asome tena clinical officer,ndo asome degree progrme ya hv ulivosema
 
hujaelewa kwani nimesema akasome degree ya medicine? We vp kama huelewi usichangie kiuzoefu ili uonekane umeandika tu.
 
hujaelewa kwani nimesema akasome degree ya medicine? We vp kama huelewi usichangie kiuzoefu ili uonekane umeandika tu.

usiwemkali wakati hujui! Kutokana na ulivyoandika huwezi ukawa na certificate then ukaenda kwenye degree moja kwa moja..! So piga pepa la form six au kapige diploma ya hiyo kitu kwa kutumia certificate yako then uhamie kwenye degree..! Over
 
dah nashukuru kwa kunisaidia mtu anaambiwa ukweli anakua na hasira,sasa nin maana ya kuuliza? certfcate hadi degree? labda karudie tena kusoma ilo tangazo,lugha nayo wakati mwingne tatizo,au naweza kukutajia vyuo vinavyotoa management katika afya,kama mzumbe,udom health informatin system then uende na cheti chako cha certificate kama watakuchukua,nilichokwambia hapo juu cha kwel,wengne hatupo jf kwa ujinga.kuwa muelewa
 
sis tumetimiza wajibu wetu..! Ngoja tumuache
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…