certificate in law udsm

certificate in law udsm

mtwa mkulu

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2013
Posts
8,586
Reaction score
11,227
nimechaguliwa kujiunga na certificate ya sheria chuo kikuu cha dar es salaam. naombeni kujua kama kuna utaratibu wowote kuhusu hostel. pia mnanishaurije hii coz ni nzuri kweli?
 
nimechaguliwa kujiunga na certificate ya sheria chuo kikuu cha dar es salaam. naombeni kujua kama kuna utaratibu wowote kuhusu hostel. pia mnanishaurije hii coz ni nzuri kweli?

kwa nini uliomba?matarajio yako yalikuwa nini? pia hostel ni kwa ajili ya wanasoma degree tu.
 
ninapenda sheria na ninatamani kuijua vyema na ninatamani kuitetea na ndio maana nikaaply. tatizo wazazi wangu wamekuwa wakikubali kwa shingo upande na kudai kuwa ajira inasumbua nikaamua kupata mawili matatu kwa wanajamvi. nashukuru kwa majibu yako na kama wewe ni kigogo pale mahali akhsanteni kwa kunichagua
 
kaka karibu sana japo si kigogo pale UDSoL cha muhimu soma kwa bidii upate zile B tano na kuendelea ili usome degree moja kwa moja palepale udsm kati ya LLB au BALE.
kila la heri.
 
Ajira za sheria ni ngumu kiasi lakini ukimaliza LAW SCHOOL uajiriwe ya nini? unakuwa wakili wa kujitegemea,kama ni ajira usome BA LAW ENFORCEMENT hasa upolisi,fire,magereza,ila field zingine kama takukuru,uhamiaji inategemeana na uhitaji wa mwaka.
 
Back
Top Bottom