Nicorandil
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 258
- 749
Mkuu sehemu ya demographics ipo kwenye kuapply mkopo Heslb ndo wanataka ujaze hio namba cheti kikishahakikiwa RITA ndo nikarudi kuangalia sijaona.mmh hapo mbona hamna sehemu inayotaka demographics? fafanua zaidi
Achana na cheti nenda kwenye account yako ya RITA uliyofanya registration log in tafuta sehemu iliyoandikwa details click hiyo sehem angalia sehemu iliyoandikwa activation code chukua hizo namba jaza kwenye mfumo jina lako litakuja automaticallyMkuu sehemu ya demographics ipo kwenye kuapply mkopo Heslb ndo wanataka ujaze hio namba cheti kikishahakikiwa RITA ndo nikarudi kuangalia sijaona.
Asante chief,,naona imekubali. asante aseeAchana na cheti nenda kwenye account yako ya RITA uliyofanya registration log in tafuta sehemu iliyoandikwa details click hiyo sehem angalia sehemu iliyoandikwa activation code chukua hizo namba jaza kwenye mfumo jina lako litakuja automatically
Samahani, imeandikwa activation code au application code? Maana natafuta sehemu iliyoandikwa activation code ila siioniAchana na cheti nenda kwenye account yako ya RITA uliyofanya registration log in tafuta sehemu iliyoandikwa details click hiyo sehem angalia sehemu iliyoandikwa activation code chukua hizo namba jaza kwenye mfumo jina lako litakuja automatically
Application code tafuta hiyoSamahani, imeandikwa activation code au application code? Maana natafuta sehemu iliyoandikwa activation code ila siioni
Mkuu sehemu ya attachment huwa wanahitaji nini?Application code tafuta hiyo
Elfu tatu mkuu..Kiongoz gharama mpaka unapata hiyo number ilikuwa shingapi?? Msaada tafadhali
Na sehemu ya attachment huwa wanataka nini paleElfu tatu mkuu..
Kikiwa kwenye pdf au pichaCheti cha kuzaliwa tu.
Chet unacho verifyMkuu sehemu ya attachment huwa wanahitaji nini?
Kikiwa kwenye pdf au picha
Kwa hiyo nikipige picha halafu nikibadilishe kwenda kwenye pdf
Kiscan na Adobe ScannerKwa hiyo nikipige picha halafu nikibadilishe kwenda kwenye pdf
Hamna scanner nyingine?? Hii haifany kaz kwenye simu yangu kiongozKiscan na Adobe Scanner
Cam Scanner inaacha Logo yake chini ya document.Hamna scanner nyingine?? Hii haifany kaz kwenye simu yangu kiongoz