Nicorandil
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 258
- 749
Habari za mchana wakuu? Poleni na majukumu ya hapa na pale. Naombeni mwongozo jinsi ya kupata certificate verification namba baada ya cheti kuhakikiwa RITA. Nimehakiki tayari na nimeendelea na maombi ya mkopo ila sehemu ya demographics inataka verification number ambayo kwenye vyeti nilivyohakiki mpaka sa hivi hakuna chenye hio namba. Kibaya zaidi RITA huduma kwa mteja simu hawapokei ( tangu application zianze, kabla walikua wanapokea). Naombeni mwongozo tafadhali.