M mrembowangu Member Joined Nov 20, 2013 Posts 25 Reaction score 8 Dec 23, 2013 #1 Achilia mbali CISA, CPA..etc, Je kuna certification nyingne yoyote ambayo watu wa Education wanaweza kusoma, ambayo inarelate na maswala ya Elimu?
Achilia mbali CISA, CPA..etc, Je kuna certification nyingne yoyote ambayo watu wa Education wanaweza kusoma, ambayo inarelate na maswala ya Elimu?
Mpapatu JF-Expert Member Joined Jul 18, 2013 Posts 221 Reaction score 119 Dec 23, 2013 #2 Zipo nyingi we unataka za Biashara tu au mixer? Maana ulizotaja ni za biashara, subr watu wa taaluma waje wakutaarifu.
Zipo nyingi we unataka za Biashara tu au mixer? Maana ulizotaja ni za biashara, subr watu wa taaluma waje wakutaarifu.
M mrembowangu Member Joined Nov 20, 2013 Posts 25 Reaction score 8 Dec 23, 2013 Thread starter #3 Mpapatu said: Zipo nyingi we unataka za Biashara tu au mixer? Maana ulizotaja ni za biashara, subr watu wa taaluma waje wakutaarifu. Click to expand... Ninavyojua hizo zimebase sana kwenye biashara na zinakuwa na faida zaidi kwa watu ambao wamesoma Busness adm, Accntcy tofauti na mtu ambaye degree yko ni Edctn, Embu mention hzo nyngne unazojua nijaribu kugoogle
Mpapatu said: Zipo nyingi we unataka za Biashara tu au mixer? Maana ulizotaja ni za biashara, subr watu wa taaluma waje wakutaarifu. Click to expand... Ninavyojua hizo zimebase sana kwenye biashara na zinakuwa na faida zaidi kwa watu ambao wamesoma Busness adm, Accntcy tofauti na mtu ambaye degree yko ni Edctn, Embu mention hzo nyngne unazojua nijaribu kugoogle