Certification ipi?

Certification ipi?

mrembowangu

Member
Joined
Nov 20, 2013
Posts
25
Reaction score
8
Achilia mbali CISA, CPA..etc, Je kuna certification nyingne yoyote ambayo watu wa Education wanaweza kusoma, ambayo inarelate na maswala ya Elimu?
 
Zipo nyingi we unataka za Biashara tu au mixer? Maana ulizotaja ni za biashara, subr watu wa taaluma waje wakutaarifu.
 
Zipo nyingi we unataka za Biashara tu au mixer? Maana ulizotaja ni za biashara, subr watu wa taaluma waje wakutaarifu.

Ninavyojua hizo zimebase sana kwenye biashara na zinakuwa na faida zaidi kwa watu ambao wamesoma Busness adm, Accntcy tofauti na mtu ambaye degree yko ni Edctn, Embu mention hzo nyngne unazojua nijaribu kugoogle
 
Back
Top Bottom