Certification of birth certificate

Certification of birth certificate

udevanny

Member
Joined
May 24, 2017
Posts
23
Reaction score
9
Habari WanaJamvi,, hivi hizi affidavit of birth zinatakiwa kuwa certified.
 
Attachments

  • Screenshot_20231231-153714.jpg
    Screenshot_20231231-153714.jpg
    170.1 KB · Views: 12
  • Screenshot_20231231-154326.jpg
    Screenshot_20231231-154326.jpg
    140.1 KB · Views: 11
Ni muhimu sana kufanya verification RITA
 
Na mimi naomba kuuliza: Affidavit huwa inaisha muda wake? Maana nilikataliwa ombi la passport kwa sababu affidavit ya kuzaliwa kwa mzazi nilichukua miezi mitatu kabla ya kuomba passport
 
Na mimi naomba kuuliza: Affidavit huwa inaisha muda wake? Maana nilikataliwa ombi la passport kwa sababu affidavit ya kuzaliwa kwa mzazi nilichukua miezi mitatu kabla ya kuomba passport
Andaa affidavit nyingine ili uweze ku- comply na Hilo agizo la immigration
 
Back
Top Bottom