Kwani walioanzisha tetesi hizi ni Yanga?Yanga wana propaganda za kizamani sana
Wamegundua kwenye jambo lao la kutangaza viongozi wapya kesho bila kutumia brand ya Simba kutengeneza propaganda basi hakuna atayechukua muda wake kufuatia press yao.
Akafata njaakalihatari kolo Lia lia, Sasa Yanga wanaingiaje hapoKwani walioanzisha tetesi hizi ni Yanga?
Mbona niliona mtu wa kwanza ni Micky Jr wa Ghana, Yanga wanahusikaje hapa aisee[emoji38]
Mi nafikiri huyo mchezaji anaenda Simba, sasa hili ionekane Yanga walimtaka lakini Simba wamempata kijasusi[emoji1] maana ukiangalia kwa timu kama ya Yanga wangemtaka huyo wangemchukua kabla hawajamleta KamboleAkafata njaakalihatari kolo Lia lia, Sasa Yanga wanaingiaje hapo
Yanga ndio walioanzisha, huyo wa ghana kuna uwezekano aliambiwa aseme hivyo tuKwani walioanzisha tetesi hizi ni Yanga?
Mbona niliona mtu wa kwanza ni Micky Jr wa Ghana, Yanga wanahusikaje hapa aisee[emoji38]
KIONGOZI GANI MPYA YANGA KATAMBULISHWA LEO?Yanga wana propaganda za kizamani sana
Wamegundua kwenye jambo lao la kutangaza viongozi wapya kesho bila kutumia brand ya Simba kutengeneza propaganda basi hakuna atayechukua muda wake kufuatia press yao.
ajabu mpaka viongozi wanaingia mkumbo. hawa watu hamnazo vichwaniYanga wana propaganda za kizamani sana
Wamegundua kwenye jambo lao la kutangaza viongozi wapya kesho bila kutumia brand ya Simba kutengeneza propaganda basi hakuna atayechukua muda wake kufuatia press yao.
Hata viongozi wao ni mazombie tuajabu mpaka viongozi wanaingia mkumbo. hawa watu hamnazo vichwani
Pesa za pre season zote kamaliza aziz ki na wanadaiwa kule Turkey kwenye hotel million 400 za kumpa manzoki watazitoa wapi.Mshambuliaji wa timu ya Vipers(Uganda) Cesar Manzoki muda mchache uliopita ameweza kushare picha kwenye ukurasa wake wa Instagram wenye kumaanisha bado yupo kwenye mahaba mazito na timu ya Simba.
Kwasasa mashabiki wa Simba watakuwa na amani baada ya post hii kutoka kwa Manzoki.
Kila la kheri Manzoki
Karibu sana kwa wana Lunyasi.
View attachment 2327835
Kiongozi gani wa Yanga aliesema kuhusu usajili wa manzoki au hao wachambuzi wenu uchwara ndio waliwaingiza chaka,toka lini Yanga ikatangaza usajili serena hotel?Yanga wana propaganda za kizamani sana
Wamegundua kwenye jambo lao la kutangaza viongozi wapya kesho bila kutumia brand ya Simba kutengeneza propaganda basi hakuna atayechukua muda wake kufuatia press yao.