Mshambuliaji wa timu ya Vipers(Uganda) Cesar Manzoki muda mchache uliopita ameweza kushare picha kwenye ukurasa wake wa Instagram wenye kumaanisha bado yupo kwenye mahaba mazito na timu ya Simba.
Kwasasa mashabiki wa Simba watakuwa na amani baada ya post hii kutoka kwa Manzoki.
Kila la kheri Manzoki
Karibu sana kwa wana Lunyasi.
Kwasasa mashabiki wa Simba watakuwa na amani baada ya post hii kutoka kwa Manzoki.
Kila la kheri Manzoki
Karibu sana kwa wana Lunyasi.