CGI Anna Makakala ndio Mkuu pekee wa Chombo cha Ulinzi na Usalama aliyebaki mwenye uteuzi wa hayati Magufuli

CGI Anna Makakala ndio Mkuu pekee wa Chombo cha Ulinzi na Usalama aliyebaki mwenye uteuzi wa hayati Magufuli

Area 56

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2015
Posts
1,555
Reaction score
4,085
Rais Samia alipoingia tu madarakani 19 March 2021 alianza taratibu kuwaondoa Wakuu waVyombo vya Ulinzi na Usalama na kuweka wakwake.

Ndio, wengine walikuwa washakaribia kustaafu kama Jenerali Mabeyo, ila wengine waliondolewa kabla ya kustaafu kwao kama vile DGIS Diwani Athumani pamoja na IGP Sirro aliyepangiwa majukumu ya Ubalozi na kuja kustaafu Upolisi baadae.

Kamishna Jenerali wa Uhamiaji, Anna Makakala nadhani ni mkuu wa chombo cha ambaye mpaka leo yupo.

Je ni mchapakazi mahiri au jinsia yake imembeba?
 
MaBeyo miaka 69 sasa sirro naye mtu mzima mida yao ya kustaafu iliifika

Na kingine mabeyo hata baada ya muda wake wa kustaafu kufika aliongezewa muda na mh rais

Halafu sio kweli Sirro alivyostaafu ndio akapangiwa ubalozi Acha kulisha watu matango pori
 
Back
Top Bottom