Cha asubuhi kitamu

Cha asubuhi kitamu

Uzi umekimbia balaa dah! [emoji16][emoji16][emoji16]
Yani speed ya supersonic, watu wanapenda ka mchezo sana hawajali kuwa ni Jpili!

Ngoja tuwasindikizie na kapicha

Screenshot_20240121-143302_Instagram.jpg
 
Hoja ya cha asubuhi je?[emoji1787]

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]na kamvua haka da![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hii nchi tutasubili sana,hivi hamjui kuwa sukari kilo Moja 5000 saizi au ulieleta Uzi huu Bado unaishi Kwa wazazi.
 
Back
Top Bottom