HUKU ABROAD
Senior Member
- Nov 20, 2020
- 127
- 218
Ukweli ni kwamba mkiachana. Sio kwamba mmeachana. Ni kama mme pumzishana
Sasa akitokea ni mwanamke ameringa kabisa
Cha kufanya
1. FUTA namba yake ya What's App asione Picha zako
2. Kama ulimfollow . Mu unfollow chap chap alafu mblock
3. Kama ulikua na mchongo una. Fanya, utaona pole pole unamsahau na kufanya mambo yako .
Alafu baada ya siku kadhaa utaona anajitumisha txt .. " I miss you"
Sikia wewe na akifanya hivyo achana naye usimjibu cha kufanya tafuta mwanamke ambaye anamjua na u-date naye ...
,