Latent chaos
JF-Expert Member
- Jul 15, 2024
- 1,515
- 3,141
Wewe mbona ukizinguaga mimi ndo mpaka nikuguse , Kwanini huwa hujiongezi ? 😁Nafikiri itakua ni nature tu huwa inatuongoza kufanya hivyo.
Pia yule aliyekosea huwa naweza juhudi kwenye make up sex mambo yanakuwa moto 😂