Latent chaos
JF-Expert Member
- Jul 15, 2024
- 1,515
- 3,141
Wewe mbona ukizinguaga mimi ndo mpaka nikuguse , Kwanini huwa hujiongezi ? πNafikiri itakua ni nature tu huwa inatuongoza kufanya hivyo.
Pia yule aliyekosea huwa naweza juhudi kwenye make up sex mambo yanakuwa moto π
Ndiyo mnapata tu hao mapachaNimecheka sana, kwamba mnapata mapacha kwa kuzaguama kwenye basi π π π
Haya Dar to Ams ni masaa 9 mnapata mapacha pia.
Acha nicheke tu ππππHii haiwezekani.
Camera za korido zingewaona na flight attendant huwa wanaona, marubani huwa wanaona, isipokuwa chooni tu. Mngeonekana wakati mnaingia chooni. Lazima mfungiwe kusafiri na mashirika ya ndege, na faini kubwa.
Wanaharibiwa na videonza ngono labda.. mwanaume mguno wa nini, agune anaegongelewa msumali sio mgongelea msumaliSijui kwa nini ila wanaume wanaotoa sauti huwa wapo.
mengine umeelezea vizuri sana, na sisi tunafyrahi mkitufanyia hayo mambo ambayo nawafanya mjisikie wanaume kweli kweli, mana huwa mnatuhangaisha, mnatupa raha.
Kitaeleweka tuuSasa kanisani unamkojozea wapi?
Daah sijawahi kufanya hivyo na mtu ambaye siko kwenye mahusiano nayeNdiyo mnapata tu hao mapacha
Changamoto ni baada ya tendo, unakuta hata jina la Abiria ulisahau kuuliza π
Out of control hiyo vipi????Hivi Mshangazi dot com ulisoma kozi inaitwa Adult content entrepreneurship au , you're getting out of control ππ
Hizi zako sio nyege za kawaida, na pia unajitia ufundi ambao huna,kama ni kweli wewe fundi nipe kakinu nijitwangie kwanza kuprove ushangazi wako π€Out of control hiyo vipi????
Haya sawa, najua utaweza tu kwa namna yoyote ile.Kitaeleweka tuu
Labda nina ugonjwa na kweli siyo kawaida π π π π πHizi zako sio nyege za kawaida, na pia unajitia ufundi ambao huna,kama ni kweli wewe fundi nipe kakinu nijitwangie kwanza kuprove ushangazi wako π€
Sizani hata kama mliweza kuhema kwa udogo ule. Sink, mlango na choo hukafanya kachumba kuwa kadogo sana kwa watu wawili. Ila kigumu zaidi ni kuingia wawili msionekane.Boeing 787-10
Kanaombwaje yaa qalbiLbda nina ugonjwa na kweli siyo kawaida π π π π π
Ka kiku hakaombwagwi hivyo.
KanaombwajeLbda nina ugonjwa na kweli siyo kawaida π π π π π
Ka kiku hakaombwagwi hivyo.
"huu ni uzi wa mtu alileta Asubuhi"Jamani Mimi nina mchumba wangu ambaye tumeanzisha uchumba hivi karibuni.
Dogo ni bikra na sikutaka nifanye naye mapenzi kama alivyohitaji. Kuna siku nilimwamby nahitaji kwenda mbali kwa utafutaji, nkamwamby akimpata mtu amuoe.
Hiyo ilileta shida kwake kiadi cha kuugua sababu ananipenda na mimi ndo mtu wake wa kwanza, hapa nifanye nini niweze kumuacha bila ya maumivu
Yaani nachukua chukua tu.."huu ni uzi wa mtu alileta Asubuhi"
okYaani nachukua chukua tu..
Maana leo sina hata cha kuchangia aiseee nipo nipo tu
Maskini kabinti ka watu hakajui kwamba wewe ni hamnazo a.k.a poor Brain πJamani Mimi nina mchumba wangu ambaye tumeanzisha uchumba hivi karibuni.
Dogo ni bikra na sikutaka nifanye naye mapenzi kama alivyohitaji. Kuna siku nilimwamby nahitaji kwenda mbali kwa utafutaji, nkamwamby akimpata mtu amuoe.
Hiyo ilileta shida kwake kiadi cha kuugua sababu ananipenda na mimi ndo mtu wake wa kwanza, hapa nifanye nini niweze kumuacha bila ya maumivu
Sio mimi mkuu... Be careMaskini kabinti ka watu hakajui kwamba wewe ni hamnazo a.k.a poor Brain π