Cha Mtu Mavi...

Cha Mtu Mavi...

LOVINTAH GYM

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2015
Posts
459
Reaction score
653
Ukielewa hii methali basi itakusaidia sana:

1. Kuepukana na tamaa.

2. Itakusaidia kufurahia mafaniko ya wengine bila kuwaonea wivu wala kuwachukia.

3. Itakupa nguvu ya kuongeza jitihada ili uweze kupata cha kwako.

Pia, ukimfundisha mtoto wako huu msemo utamsaidia sana:

1. Kutokuwa mwizi au tapeli au muonevu.

2. Kujitafutia na kutokutegemea urithi wa wazazi.

3. Kuwaza nje ya box.

4. Kuwa na hekima na busara ya kutaka kujifunza kutoka kwa waliofanikiwa na sio kuwaongelea vibaya.

5. Kufanya wema bila kutegemea shukrani.
 
Andiko zuri Sana hili, hongera zako mkuu
 
Back
Top Bottom