elvee
JF-Expert Member
- Jan 27, 2017
- 1,110
- 1,625
[emoji12] [emoji12] [emoji12] poleeMi hata awe na yaaje nikishaona tumbo stimu inakata
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji12] [emoji12] [emoji12] poleeMi hata awe na yaaje nikishaona tumbo stimu inakata
Mi napenda mwanaume awe na tumbo flat ndio anakuwa na mvuto,kibamia naweza vumilia kidogo lakin kisiwe kama cha lemutuz maana ntapata hasira kalii[emoji12] [emoji12] [emoji12] polee
Kunywa lakini inabidi uchague na misosi piaSawa hata whisky nisinywe?
Kweli wanatuonea sana,lakini pomoja na kutuonea huko wajue kua hawana ujanjaMnatuoneaa
Ahahhaah we kale kanukta ka le mutu kinakutosha?Kweli wanatuonea sana,lakini pomoja na kutuonea huko wajue kua hawana ujanja
Misosi gani mfano?Kunywa lakini inabidi uchague na misosi pia
Sasa matumbo yetu tuyaweke wapi kama hamtaki kuyaonaMi hata awe na yaaje nikishaona tumbo stimu inakata
Yakateni muyatupeeSasa matumbo yetu tuyaweke wapi kama hamtaki kuyaona
Misosi yenye mafuta mengi si ndio inanenepesha tumboMisosi gani mfano?
Mi hata bwawa lakiasi chochote kile nadhani nitaliridhisha tu.[emoji23]Ahahhaah we kale kanukta ka le mutu kinakutosha?
Una hatariYakateni muyatupee