Chabo! (DVD)

Chabo! (DVD)

Ernie

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2010
Posts
217
Reaction score
25
Kuna jamaa kitaa alikuwa na tabia ya kula chabo, siku moja akawa anachungulia kwenye tundu kwa zamu yeye pamoja na mshkaji wake, baadae ikawa zamu ya jamaa jamaa kuchungulia kumbe mzee wa shughuli mle ndani alikuwa amewaona akachukua chuma ya mshkaki jamaa alipokuwa anachungulia akamtoboa jicho, jamaa akashtuka mwenzake akamuuliza vipi? jamaa akajibu "aaagh! wamezima taa" kumbe katobolewa jicho
 
Back
Top Bottom