Eghorohe
JF-Expert Member
- Aug 29, 2011
- 220
- 79
Leo kanisa lingine limechomwa,najiandaa kwa machungu nina hasira hadi natetemeka magaidi wakija kanisani kwetu nikawakata vichwa kama DAGAA! nitavunja amri ya usiue?? Mbona Biblia inasema Mungu aliwapa nguvu baadhi ya watu kama Daudi kuangamiza maadui? Naombeni majibu POTI kabla sijaamua hatutakubali kuteswa ndani ya nchi yetu bora tufe!!