Mkalukungone mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 862
- 1,755
Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mkoa wa Mara Chacha Heche amesema katika chama hicho hakuna vibaka wala sio kweli chama hicho kilikuwa kinachukua vijana kutoka Tarime na kwenda kuwatumia kufanya fujo kama mamluki (Mercenaries).
Soma Pia:
Soma Pia:
- Wasira: CHADEMA wakitaka kufanya fujo wanachukua vijana kutoka Tarime
- Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025