Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mkoa wa Mara Chacha Heche amesema katika chama hicho hakuna vibaka wala sio kweli chama hicho kilikuwa kinachukua vijana kutoka Tarime na kwenda kuwatumia kufanya fujo kama mamluki (Mercenaries).
Heche ameyasema hayo baada ya Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara Stephen Wasira kudai kuwa chama hicho kilikuwa kinachukua vijana kutoka Tarime na kwenda kuwatumia kufanya vurugu.