Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Kwani yule UVCCM wa Bukoba aliyesema kwamba Wakiwaua/kupoteza watu polisi wasiwatafute ,mbona SISIEMU hawajahi kukanusha?Katibu wa NEC, Organizesheni wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Paul Chacha, amesema CCM haina ajenda za kuua watu, kama ambavyo Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tanzania Bara, John Heche, amekuwa akidai.
Akizungumza jijini Dodoma, Chacha amemnukuu Heche akisema, "Wasira ni mzee anasinzia kwenye vikao, inawezekana ajenda za muhimu sana zikampita, hasa ajenda za kuua watu" Chacha amesema kauli hizo zinapaswa kufuatiliwa na vyombo vya usalama "Je, CCM tuna ajenda za kuua watu? Kwa hiyo vyombo vya usalama mwangalieni yule jamaa.
Maana yake ni kwamba ndani ya CHADEMA kuna ajenda za kuua watu," amesema Chacha. Aidha, amesema CCM haina tatizo na uwepo wa vyama vya upinzani, akieleza kuwa vina nafasi muhimu katika kutoa mawazo mbadala na ya kukinzana katika mfumo wa kidemokrasia. "CCM inahitaji upinzani, haina shida nao kwani tunahitaji mawazo mbadala, mawazo kinzani," amesema Chacha.
Chacha ni absent minded.Anaongea bila kufikiria/kuwa na kumbukumbu kama kuku aliyekatwa kichwa.Anajiwikia tu bila kujielewa.Kwani yule UVCCM wa Bukoba aliyesema kwamba Wakiwaua/kupoteza watu polisi wasiwatafute ,mbona SISIEMU hawajahi kukanusha?
Mwaipopo aliyesema kwamba watapita na maini ,figo na moyo wa Gen Z mbona SISIEMU haijamkana wala policcm hawajamkamata?
Yule Jamaa aliyesema atakata watu vichwa mbona hajaitwa sehemu yeyote?
Sirikali si ya SISIEMU? Kukaa kwao kimya na policcm kutochukua hatua yeyote means wamebariki kazi za hao wauaji.
Kuna clip moja ya wakati wa Magufuli, Polepole anahojiwa kuhusu utekaji, anasema hakuna utekaji wowote na wanaosema hivyo ni waongo. Siyo kwamba nilifurahia kutekwa kwake, ila najiuliza mbona binadamu anakuwa ana akili za kuku? Huyu mjinga hajiulizi kama kina Nchimbi wanawekwa kwenye kona yeye ni nani?Baada ya kumfuatilia na magari yenye namba za usajili za trekta mkaona mmegundulika sasa mnataka mumbamkiie kesi.
Hizo nguvu hivyo vyombo vya dola vingewekeza kufuatilia mafisadi watapike pesa walizokwapua nchi ingekua mbali sana kimaendeleo.
Kuna clip moja ya wakati wa Magufuli, Polepole anahojiwa kuhusu utekaji, anasema hakuna utekaji wowote na wanaosema hivyo ni waongo. Siyo kwamba nilifurahia kutekwa kwake, ila najiuliza mbona binadamu anakuwa ana akili za kuku? Huyu mjinga hajiulizi kama kina Nchimbi wanawekwa kwenye kona yeye ni nani?
Katibu wa NEC, Organizesheni wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Paul Chacha, amesema CCM haina ajenda za kuua watu, kama ambavyo Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tanzania Bara, John Heche, amekuwa akidai.
Akizungumza jijini Dodoma, Chacha amemnukuu Heche akisema, "Wasira ni mzee anasinzia kwenye vikao, inawezekana ajenda za muhimu sana zikampita, hasa ajenda za kuua watu" Chacha amesema kauli hizo zinapaswa kufuatiliwa na vyombo vya usalama "Je, CCM tuna ajenda za kuua watu? Kwa hiyo vyombo vya usalama mwangalieni yule jamaa.
Maana yake ni kwamba ndani ya CHADEMA kuna ajenda za kuua watu," amesema Chacha. Aidha, amesema CCM haina tatizo na uwepo wa vyama vya upinzani, akieleza kuwa vina nafasi muhimu katika kutoa mawazo mbadala na ya kukinzana katika mfumo wa kidemokrasia. "CCM inahitaji upinzani, haina shida nao kwani tunahitaji mawazo mbadala, mawazo kinzani," amesema Chacha.
CCM hutakiwa kuwa na akili. Ukiwa na akili hutadumu. Na sasa hivi imebakiwa na wajinga kupitiliza.Chacha ni absent minded.Anaongea bila kufikiria/kuwa na kumbukumbu kama kuku aliyekatwa kichwa.Anajiwikia tu bila kujielewa.
Washazoea kutojali Katiba wala sheria. Wao wanatoa maagizo tu.Katibu wa NEC, Organizesheni wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Paul Chacha, amesema CCM haina ajenda za kuua watu, kama ambavyo Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tanzania Bara, John Heche, amekuwa akidai.