Chachandu ya pilipili, yaani pilipili ya kusaga

Pilipili upike na rojo la ukwaju jamani.. kwa nishkaki namba 1. Chukua pilipili kadhaa twanga na chmvi kiasi au saga na blender. Then kamulia na ukwaju mzito chemsha kdg tuu. So fantastic kwa mishkaki
Ukwaju unakua umeekwa sukari? Au ni ukwaju plain
 
Habari zenu wapendwa. M nataka kujua jinsi ya kupika pilipili na nini huwekwa ili isichache na iwe na ladha nzuri
 
Na mimi nasubiri kujua hilo.
Shukrani mleta uzi
 
Pilipili upike na rojo la ukwaju jamani.. kwa nishkaki namba 1. Chukua pilipili kadhaa twanga na chmvi kiasi au saga na blender. Then kamulia na ukwaju mzito chemsha kdg tuu. So fantastic kwa mishkaki
Asante kwa hili
 
Back
Top Bottom