Ukwaju unakua umeekwa sukari? Au ni ukwaju plainPilipili upike na rojo la ukwaju jamani.. kwa nishkaki namba 1. Chukua pilipili kadhaa twanga na chmvi kiasi au saga na blender. Then kamulia na ukwaju mzito chemsha kdg tuu. So fantastic kwa mishkaki
Unaweza kuweka sukari kdg, au asali au tende au zabibu kavu-raising. Ili kupunguza ukali/uchachu.Ukwaju unakua umeekwa sukari? Au ni ukwaju plain
Unaweza kuweka sukari kdg, au asali au tende au zabibu kavu-raising. Ili kupunguza ukali/uchachu.
Me hupenda kufanya namna hii nikipika kuku wa kuchoma/sekela.
Welcome sweety. [emoji9]Ahsante
Asante kwa hiliPilipili upike na rojo la ukwaju jamani.. kwa nishkaki namba 1. Chukua pilipili kadhaa twanga na chmvi kiasi au saga na blender. Then kamulia na ukwaju mzito chemsha kdg tuu. So fantastic kwa mishkaki