Hahaha nitawapa msonyo mmoja siku yao lazima iwe mbaya.Wakikurushia tope usilie.
😂😂😂Na nyie mjiandae kulala kwenye magari yenu. Kuna mgomo wa kupangisha nyumba.
"TOKOMEZA WAPANGAJI KILA MTU AJENGE NYUMBA YAKE"
Nyie wenye magari na nyumba, mnifuate huku nikawaoneshe sehemu yenu ya kucomment. [emoji23][emoji23]Sie wenye magari na nyumba tunacomment wapi?
😀 haya.Nyie wenye magari na nyumba, mnifuate huku nikawaoneshe sehemu yenu ya kucomment. [emoji23][emoji23]
Lol.!!!!Fb na Insta
Hivi kuwa na Demu mkali ni asset or liability?Dah.... Chama Cha wenye madem wakali (CWMW)....sijui kitaanzishwa lini? [emoji41]
Inabidi muwe wapenzi watazamaji....au wasomaji