Chachawema

Chachawema

Niliwahi kushuhudia foleni ya jangwani kipindi kile....kuna Dada alimmwagia maji kijana mmoja!!!....magari yaliposimama foleni yule kijana akachukua kikopo chenye maji machafu na kwenda kummwagia yule Dada!!!.....Baada ya hapo ilikuwa patashika na nguo kuchanika
 
Huyo dada nae jangwani anashusha vioo?
 
Back
Top Bottom