Hii kuwa na Demi mkali ni asset or liability?
Ipi hiyo? kwahiyo hutaki nijiweke mwenyewe?Please rudisha ile avatar iliofanya nikupende.
Weweee
Huyo dada nae jangwani anashusha vioo?Niliwahi kushuhudia foleni ya jangwani kipindi kile....kuna Dada alimmwagia maji kijana mmoja!!!....magari yaliposimama foleni yule kijana akachukua kikopo chenye maji machafu na kwenda kummwagia yule Dada!!!.....Baada ya hapo ilikuwa patashika na nguo kuchanika
Asset unaijua wewe?
Ile ya mwanzo....shida tunazoea avatar kuliko mtu mwenyewwe
Hata mimi nilishindwa kuelewa....ilikuwa ni karibu na mataa ya fire....mida ya asubuhi.....Huyo dada nae jangwani anashusha vioo?
Mademu wakali wapoje?Dah.... Chama Cha wenye madem wakali (CWMW)....sijui kitaanzishwa lini? [emoji41]
Vigari vyenyewe vya kike[emoji57][emoji57].
Hamtutishiii
Why they called 'em bby walker[emoji85]Vibaby Walker
Nyumba na gari vyote ni muhimu... What matter ni each individual priority[emoji4][emoji1479]Na walale kwenye magari yao.
Why they called 'em bby walker[emoji85]
Nyumba na gari vyote ni muhimu... What matter ni each individual priority[emoji4][emoji1479]