hahahaaNa nyie mjiandae kulala kwenye magari yenu. Kuna mgomo wa kupangisha nyumba.
"TOKOMEZA WAPANGAJI KILA MTU AJENGE NYUMBA YAKE"
Umeielewa au?Dah....[emoji87] [emoji41]
View attachment 919901
Dah...ni digrii ya pili ya CHACHAWEMA...[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mwanachama wa CHACHAWEMA mara nyingi anakuwa mwanachama wa CWMW
Dah... inategemea.... kati ya ntu na ntu [emoji87]Hii kuwa na Demu mkali ni asset or liability?
Dah...mkuu...Kuna wengine kwao ni asset...hasa wa mkoa.. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]LIABILITY.....
[emoji38][emoji38][emoji16][emoji16][emoji16]Fb na Insta
Ndo maana Gari la mtu likikwama kwenye Tope huwa siwasukumi ng'o!
Dah....Kama upo Dar...fanya fasta ukajiunge [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Tunaotumia baiskel vipi?