Mimi ni kijana ninayejitolea katika moja ya hospital hapa nchini katika kitengo cha mapokezi kwa miaka zaidi ya sita napenda hii kazi ya kuhudumia wagonjwa, changamoto yangu sina uhakika wa ajira kwa hapa nilipo kwa yoyote mwenye mawasiliano hata email ya waziri wa afya tafadhali anisaidie kupata au kama wizara husika ina watu humu itakuwa vyema sana.
N.B Sina lalamiko coz uongozi husika unatoa ushirikiano wa kujikimu kwangu wakati wote bali chachu yangu ni kupata nafasi ya kudumu ili niendelee kutoa huduma kwa wagonjwa kwa manufaa ya Taasisi na nchi kwa ujumla.